Nawapongeza sana Simba kwa kuwa wa bunifu. Wamejiongeza zaidi. Baada ya kuona Timu yao imekosa muelekeo wakabuni vikundi vya kupiga viongozi wakakipeleka kwa mkopo hata kule cost uniona.
Wameanzisha vikundi vya ushangiliaji kwa timu yeyote itakayokuja Dsm ili mradi haichezi na simba.ina toa msaada wa kua msemaje wa timu yeyote ile. Pia wamejiongeza zaidi wanatoa huduma ya kukushikia nafasi bure huduma hiyo tayali Yanga na Azam wameisha faidika. Haya kwa wale wanaoenda kigoma na reli ya kati usihangaike kugombea nafasi wasiliana na club ya simba watakushikia nafasi mpaka utakapo amua kusafili