yegella JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,113 Reaction score 1,104 Dec 11, 2011 #1 wana jamvi tuhabalishane kinacho endelea kwenye uwanja wa taifa kati ya miamba wa Africa baada ya Yanga (Yebo yebo) kuingia mitini... je simba atapigwa za Real Madrid Mashabiki wa simba Mshambuliaji wa Asante Kotoko
wana jamvi tuhabalishane kinacho endelea kwenye uwanja wa taifa kati ya miamba wa Africa baada ya Yanga (Yebo yebo) kuingia mitini... je simba atapigwa za Real Madrid Mashabiki wa simba Mshambuliaji wa Asante Kotoko
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Dec 11, 2011 #2 Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup.
Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup.
chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 903 Dec 11, 2011 #3 Safi sana simba na napenda kikosi hicho
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Dec 11, 2011 #4 Masuke said: Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup. Click to expand... vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara.
Masuke said: Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup. Click to expand... vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Dec 11, 2011 #5 full time: simba 0-1 Asante Kotoko.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,228 Dec 11, 2011 #6 PrN-kazi said: vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara. Click to expand... wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa?
PrN-kazi said: vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara. Click to expand... wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa?
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Dec 11, 2011 #7 Jackbauer said: wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa? Click to expand... Hili nalo neno: kufungwa tena kwenye hii ardhi ya Tanganyika!!!!!! inavunja moyo kwakweli..
Jackbauer said: wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa? Click to expand... Hili nalo neno: kufungwa tena kwenye hii ardhi ya Tanganyika!!!!!! inavunja moyo kwakweli..
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Dec 11, 2011 #8 Jackbauer said: wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa? Click to expand... Hivi ni lini tena wanakichanganya Yanga FC & Simba FC wakipige na Asante Kotoko FC? ama ndiyo hiyo imepita tayari?
Jackbauer said: wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa? Click to expand... Hivi ni lini tena wanakichanganya Yanga FC & Simba FC wakipige na Asante Kotoko FC? ama ndiyo hiyo imepita tayari?