GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,557
Tusiporoga sana Siku hiyo naziona 7 au 8 na hata 10 za Sisi Kufungwa nanyi. Mna Vyuma vya maana tupu Mkuu. Hongereni.Popoma wewe cndo ulisifia wizi wa airport hapa..?tulia ivo ivo mpaka tukutane
Kwahiyo Kuufurahia Kwangu ndiyo nisiseme Ukweli Mchungu kuwa Yanga SC wametuzidi mbali sana Simba SC katika Suala zima la Usajili na Kusajili Majembe?Sawa ila ulifurahia ule wizi wa fabrice ngoma
Mumeo.Popoma
Uswahili na upuuzi uko wapi?Kwahiyo Kuufurahia Kwangu ndiyo nisiseme Ukweli Mchungu kuwa Yanga SC wametuzidi mbali sana Simba SC katika Suala zima la Usajili na Kusajili Majembe?
Acha Uswahili na Upuuzi Mkuu sawa?
Bado haujasema, na utasema tu..!!Yanga SC ni Wajanja na wana akili sana kwani kwa Miaka hii Miwili kila Kipindi cha Usajili kikifika tu Wanajifanya Kutangaza kumtaka Mchezaji fulani na Simba SC kwa Upumbavu wetu (narudia tena kwa Msisitizo kabisa kwa Upumbavu wetu) tunaingia Mkenge na Kukurupuka kuwahi Kumsajili huyo Mchezaji huku Yanga SC 'Waliotujambisha' wanaenda Kumsajili Mchezaji mzuri waliyetuficha na hata hawakumtangaza na Matokeo yake Wachezaji wao Wote Waliowasajili ni Wazuri, wa uhakika, hatari na wameshaingia katika Mfumo.
W akati huku Kwetu ( Simba SC ) aliyetuonyesha Uwezo ni Beki tu Chemalone huku Wengine wakiishia tu Kutusukia Mirasta yao na Kuvaa Mihereni na Mwingine Aubin Kramo akilalamika Kulogwa Kende ( Pumbu ) zake kila Kocha akimpanga katika Mechi.
Msimu ujao Dirisha la Usajili likifika Simba SC tuacheni kukubali 'Kujambishwa' na hawa Yanga SC kisha Kukurupuka Kuwasajili Wachezaji waliowataka Kiuwongo Uwongo ( Kujambisha)
Kisha Wao wanaenda Kuwasajili wale Mahiri 'Waliowapointi' wao kisha wanakuja Kuunganika na Mafundi waliowakuta na Timu zinaanza kula Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na wana Simba SC tunabaki Kusonya tu huku tukidai kuwa Yanga SC wanacheza na Timu dhaifu ( nyepesi ) na sijui Wanazihonga wakati hata Sisi kule Tanga katika Fainali ya Community Shield muda wote walikuwa Wanatuhemea tu hadi Wengine kila mara Kubana Kende ( Pumbu ) zetu Miguuni ili tusifungwe ns Shukran nyingi ziende kwa Mganga wetu tuliyetafutiwa na Kocha ( sasa Mkurugenzi wa Soka la Vijana Simba SC ) Juma Mgunda kwani kwa hali ilivyokuwa Siku ile hata Sisi ( Simba SC ) tulikuwa tunaenda Kula ( Kufungwa ) hizi hizi Tano Tano ( Hamsa Hamsa ) wanazokula Wenzetu kwa sasa.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu Ok?
Japo nami Nakiri nililishangilia na kulishadadia mno hili ila nakubaliana nawe 100% ni kutokana na Upumbavu ( Upopoma ) wa Kimihemko ya Simba na Yanga lakini Ukweli utabaki pale pale kuwa Yanga SC wako very Smart katika Scouting and Signing ONLY Competent Players kama hawa Waliowasajili Msimu huu na hata Msimu uliopita tofauti na Sisi tunaobahatisha Kusajili kila Msimu.Point nilishangaa simba kujisifu kuiba mchezaji airport hii inaonesha hakuwa kwenye malengo ya kocha bali walimchukua kuwakomoa yanga, huu ni upumbavu
I agree with you 100% Chief na kwa Mpira huu Mwingi / Mkubwa wa Yanga SC kuna Timu tutapigwa ( tutafungwa ) hata 8 au 10 tukikutana nao.kuna tatizo pale Simba kuanzia msemaji wa timu, benchi zima la ufundi, kamati ya usajili wanakula posho za bure tu. Usajili ulifanyika kishabiki na sio kitaalam
Kwanini?Nimecheka sana asubuhi hii
Naitwa GENTAMYCINE na si hilo ( hili ) parody la GENTAMYCIME tafadhali sawa?Kwa kweli kama ni mkenge mliuvagaa haswa na mkome kabisa GENTAMYCIME