OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,775
- Thread starter
- #21
Mkuu Chama ana mengi anajua kuhusu RB. Unadhani hana cha kushauri technical bench na kwa wenzie? Sio RB tu,bali ana jua mengi kuhusu international gamesChama anaenda huko kufanya nini kama hatacheza? hiyo nafasi yake si bira angepewa mtoto mmoja wa U23 akajifunze chochote?