Habari wana jamvi,leo jioni itakua siku nyingine chungu kwa mashabiki wa Simba SC,Kaizer anaenda kutoa kipigo kingine kama sio kinachofanana na kilichopita (4G) basi chini kidogo ya kipigo kilichopita (Kaizer3_Simba SC1) au (Kaizer5_Simba SC 2)
*kocha hana game plan zaidi ya biriani[emoji1787][emoji1787]
*hajui muda amfanyie sub nani,hana timing nzuri ya substitution
*beki ya simba inaaminiwa ni Beki bora ilhali ni beki mbovu,Mo Husein siyo yule wa zamani,kwasasa ni uchochoro,Kapombe ni homa za vipindi,performance yake haitabiriki.
*Forward ni butu,specifically Mugalu ni galasa,kuanzishwa kwa Mugalu ni red card kwa timu.Inafaa aanzishwe Bocco au Kegere kutegemea au wote kwa pamoja itategemea na mfumo/game plan ya kocha.
*Kiungo cha Mkude,Injinia Thadeo hakina ubunifu,kinacheza kizamani sana,waige kwa Mukoko na Feisal wa Yanga SC[emoji123]
*Miquisone na Chama ni watu[emoji109][emoji122][emoji122][emoji122],na hawa ndio engine ya timu ya Simba kwa sasa,shida ni pale timu inapozidiwa hata kikubwa wanachofanya hakionekani (refer last game)
*Bwalya ni homa za vipindi,performance yake haitabiriki.
*Manura ni kipa mbovu kucheza mipira iliyokufa,ni kipa anayepotea anapotunguliwa magoli ya mapema,kama unaanza kushabikia soka leo hili huwezi kulijua...
■Nakiona kipigo kingine kwa Simba leo,tujiandae kisaikolojia...
Sheikh23
View attachment 1793629