Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,218
- 138,643
bench la ufundi nalo linahitaj mapumzikoHawana timu B?
Hapana lazima kutakua Kuna pressure kubwa hii team kubwa. Fikiria mapinduzi kilienda kikosi b pamoja na watu wa majaribio ila kelele mpaka leo. Wacha tupumue tu kidogoWangetumia Simba B yenye mchanganyiko na wachezaji wasiotumika sana (Mkude, Ally Slim, Ndemla, Gadiel, Duchu, Kenned pamoja wapya kina Kibu, Walter Bwalya......)
Wanahitaji kupumzika piaWangetumia Simba B yenye mchanganyiko na wachezaji wasiotumika sana (Mkude, Ally Slim, Ndemla, Gadiel, Duchu, Kenned pamoja wapya kina Kibu, Walter Bwalya......)
Na huu ndio ukweli.Wamewakimbia Yanga