Simba sasa bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
490
Wajameni kwa wale mafuns wa Simba, naona kwa mwelekeo huu inaweza kuwa ndio mwanzo mwisho wa makeke yao kwani nasikia hata tumaini lao NGASA kakimbia timu badala ya kwenda Mwanza kupata kichapo toka kwa TOTOS ameamua kurudi jijini walau kuangalia vi modos pale posta mpya. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Ama kweli ngoma ikuvma sana mwisho hupasuka.
 
Tulianza kwa kushinda mfululizo, tukatoa droo mfululizo na sasa tutafungwa mfululizo
 

Wape vigonge vyao wakimeza wakitema shauri yao. Watajijua wenyeeeeeeee.
 
Huyo ndie mnyama ongea saaaana lakini mwisho jibu utapata.
 
now cio simba tena,lishakua lipaka la kulamba maziwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…