mpayukaji JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 940 Reaction score 349 May 6, 2012 #21 Loh! Kumbe Yanga imegeuka nyanya na bwabwa hivi!
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,253 Reaction score 13,259 May 6, 2012 #22 Simba 5, CCM 0 ahahahahahahahaaaaaaa!!!!!!!!!!naona kuna ndala zinang'aka sana humu pasukeni tu.
M mkonomtupu JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 441 Reaction score 118 May 6, 2012 #23 Okwi mwiba mchungu kwa yeboyebo. Riz1 msajili swahiba wako sasa achezee timu ya chama
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 May 6, 2012 #24 Tumerudisha 5 zao walizotupiga. Sasa kazi kwao kurudisha zile 6 tulizowachabanga.
Xuma JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 683 Reaction score 196 May 6, 2012 #25 Asprin said: Tumerudisha 5 zao walizotupiga. Sasa kazi kwao kurudisha zile 6 tulizowachabanga. Click to expand... * HUjaeleweka gt!!
Asprin said: Tumerudisha 5 zao walizotupiga. Sasa kazi kwao kurudisha zile 6 tulizowachabanga. Click to expand... * HUjaeleweka gt!!
M MUGESH Member Joined Oct 16, 2011 Posts 11 Reaction score 0 May 6, 2012 #26 Simba wanatisha jamani heshima yao tuwape tu
mi_mdau JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,171 Reaction score 1,757 May 6, 2012 #27 Simba na sisi tunakera sana, Yanga wakija kushangilia wageni tunawafunga wanaondoka vichwa chini, wakija kujishangilia wenyewe tunawapiga kipigo cha mbwa mwizi. Sasa tunataka wasije uwanjani au? Aaaarghh
Simba na sisi tunakera sana, Yanga wakija kushangilia wageni tunawafunga wanaondoka vichwa chini, wakija kujishangilia wenyewe tunawapiga kipigo cha mbwa mwizi. Sasa tunataka wasije uwanjani au? Aaaarghh
BJEVI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 1,359 Reaction score 251 May 6, 2012 #28 mi_mdau said: Simba na sisi tunakera sana, Yanga wakija kushangilia wageni tunawafunga wanaondoka vichwa chini, wakija kujishangilia wenyewe tunawapiga kipigo cha mbwa mwizi. Sasa tunataka wasije uwanjani au? Aaaarghh Click to expand... walikuja kiovu wakawashangilia,,,wakaja E ,S SETIF WAKASHANGILIA,WAKAJA ALHILALY SHANDI WAKASHANGILIA...LAKINI MWISHO WA MCHEZO WANATOKA VICHWA CHINI KWA KIPIGO KINACHOTOLEWA NA MNYAMA.
mi_mdau said: Simba na sisi tunakera sana, Yanga wakija kushangilia wageni tunawafunga wanaondoka vichwa chini, wakija kujishangilia wenyewe tunawapiga kipigo cha mbwa mwizi. Sasa tunataka wasije uwanjani au? Aaaarghh Click to expand... walikuja kiovu wakawashangilia,,,wakaja E ,S SETIF WAKASHANGILIA,WAKAJA ALHILALY SHANDI WAKASHANGILIA...LAKINI MWISHO WA MCHEZO WANATOKA VICHWA CHINI KWA KIPIGO KINACHOTOLEWA NA MNYAMA.
N Nkomoji JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 234 Reaction score 31 May 6, 2012 #29 Hongereni zenu washindi!
M mtotopendwa Member Joined Feb 23, 2012 Posts 98 Reaction score 63 May 7, 2012 #30 Yanga timu ya vibabu vya darisalama na wachezaji wazee ndo maana wamecheza kizeezee na tumewakomesha,simba OYEEEEEE
Yanga timu ya vibabu vya darisalama na wachezaji wazee ndo maana wamecheza kizeezee na tumewakomesha,simba OYEEEEEE
M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,593 May 7, 2012 #31 Walitumia mda mwingi kutatua mgogoro kuliko kuandaa kikosi
S snindi New Member Joined Apr 18, 2012 Posts 2 Reaction score 0 May 7, 2012 #32 Ahhh Yangaaaaa deadly dead...Jangwani bakora kama kawa...mnyama anatisha
B buyegiboseba JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 535 Reaction score 145 May 7, 2012 #33 Tanzania Mpya said: Imenishangaza yanga kufungwa 5 kavu. Ni timu mbovu au? Click to expand... Jibu hapo kwenye Red bila au?
Tanzania Mpya said: Imenishangaza yanga kufungwa 5 kavu. Ni timu mbovu au? Click to expand... Jibu hapo kwenye Red bila au?