Na Simba atavuna ngapi kwa kuwa mshindi wa pili na robo fainal shirikisho plus bonusNa msimu huu yanga akiwa bingwa anavuna mpunga wa maana, zawadi ya ubingwa Mil.500, bonus kwenye mkataba wa Azam Mil.500, apo tiyali bil.1 bado wadhamini wengine awajaweka mpunga wao kama sportpesa,Gsm, ivyo msimu huu yanga ina bahati kubwa kutwaa ubingwa na kulamba mabilioni ya pesa
Bonus iyo kwiyo🤣🤣🤣 labda iyo bonus wakaiibe uko shirikishoNa Simba atavuna ngapi kwa kuwa mshindi wa pili na robo fainal shirikisho plus bonus
Mara paap Simba inefungwa na Namungo, Kagerra, Geita, mbeya city na AzamNa Simba atavuna ngapi kwa kuwa mshindi wa pili na robo fainal shirikisho plus bonus
Yaani unawaza mambo ambayo simba walishaachana nayo siku nyingi sanaa, eti kuwa wa kwanza kuifunga yanga
Kama simba walivyojisifia kwenye VAR, hata sisi tuna kila sababu ya kukisifia kama timu ya kwanza kuvuna mamilioni ya shilingi kutoka kwa mmoja wa wadhamini wa Ligi kuu.Na msimu huu yanga akiwa bingwa anavuna mpunga wa maana, zawadi ya ubingwa Mil.500, bonus kwenye mkataba wa Azam Mil.500, apo tiyali bil.1 bado wadhamini wengine awajaweka mpunga wao kama sportpesa,Gsm, ivyo msimu huu yanga ina bahati kubwa kutwaa ubingwa na kulamba mabilioni ya pesa