papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,367 Reaction score 2,068 Aug 14, 2022 #1 Hamuwezi kuchangaya mlenda na nyama choma kwenye chungu kimoja.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 37,026 Reaction score 73,666 Aug 14, 2022 #2 Jamani wana Simba wenzangu au tuifute timu kabisa tuanze upyaaaaaaa maana naona kuanzia jana kila mtu hafai..mimi bado nina matumaini
Jamani wana Simba wenzangu au tuifute timu kabisa tuanze upyaaaaaaa maana naona kuanzia jana kila mtu hafai..mimi bado nina matumaini
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 842 Reaction score 1,032 Aug 14, 2022 #3 Matola angekuwa mwenyewe kwenye benchi jana ile mechi angeshida sioni kosa lake
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,200 Reaction score 9,916 Aug 14, 2022 #4 papag said: Hamuwezi kuchangaya mlenda na nyama choma kwenye chungu kimoja. Click to expand... Huyu ndiye hirizi ya timu pamoja na Bocco. Tokea Hans aondoke hatutafanikiwa kamwe labda Makonda arudi kwenye system awafanyizie tena Utopolo kama awamu ya 5 alivyofanya.
papag said: Hamuwezi kuchangaya mlenda na nyama choma kwenye chungu kimoja. Click to expand... Huyu ndiye hirizi ya timu pamoja na Bocco. Tokea Hans aondoke hatutafanikiwa kamwe labda Makonda arudi kwenye system awafanyizie tena Utopolo kama awamu ya 5 alivyofanya.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,853 Reaction score 140,974 Aug 14, 2022 #5 Podcast said: Matola angekuwa mwenyewe kwenye benchi jana ile mechi angeshida sioni kosa lake Click to expand... Maana yake hatoi ushauri kwa kocha, kama siku zote hizo anatoa na unapuuzwa basi anjitenge kwa ushauri wake kupuuzwa
Podcast said: Matola angekuwa mwenyewe kwenye benchi jana ile mechi angeshida sioni kosa lake Click to expand... Maana yake hatoi ushauri kwa kocha, kama siku zote hizo anatoa na unapuuzwa basi anjitenge kwa ushauri wake kupuuzwa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,643 Reaction score 138,757 Aug 14, 2022 #6 Yaani hata ligi yenyewe tu haijaanza, tayari kimeumana! πππ
P pakao JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 381 Reaction score 533 Aug 14, 2022 #7 Wewe ndio punguwani, kwani Hans alivyokuwepo yanga walikuwa hawatufungi Kitimoto said: Huyu ndiye hirizi ya timu pamoja na Bocco. Tokea Hans aondoke hatutafanikiwa kamwe labda Makonda arudi kwenye system awafanyizie tena Utopolo kama awamu ya 5 alivyofanya. Click to expand...
Wewe ndio punguwani, kwani Hans alivyokuwepo yanga walikuwa hawatufungi Kitimoto said: Huyu ndiye hirizi ya timu pamoja na Bocco. Tokea Hans aondoke hatutafanikiwa kamwe labda Makonda arudi kwenye system awafanyizie tena Utopolo kama awamu ya 5 alivyofanya. Click to expand...
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,200 Reaction score 9,916 Aug 14, 2022 #8 pakao said: Wewe ndio punguwani, kwani Hans alivyokuwepo yanga walikuwa hawatufungi Click to expand... Kumbe bado ujapona, rudi Mil3mbe.....
pakao said: Wewe ndio punguwani, kwani Hans alivyokuwepo yanga walikuwa hawatufungi Click to expand... Kumbe bado ujapona, rudi Mil3mbe.....
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,853 Reaction score 197,446 Aug 14, 2022 #9 Yagangwe yajayo...
N nguvu Platinum Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,843 Reaction score 24,782 Aug 14, 2022 #10 Tate Mkuu said: Yaani hata ligi yenyewe tu haijaanza, tayari kimeumana! πππ Click to expand... Simba kuko shwari tatizo mashabiki wapuuzi tu, angekuwepo yule mzungu wa yanga angewaita mashabiki wa simba manyani na mbwa kubwekabweka tu
Tate Mkuu said: Yaani hata ligi yenyewe tu haijaanza, tayari kimeumana! πππ Click to expand... Simba kuko shwari tatizo mashabiki wapuuzi tu, angekuwepo yule mzungu wa yanga angewaita mashabiki wa simba manyani na mbwa kubwekabweka tu