chama konokono
Member
- Apr 27, 2023
- 99
- 199
Tafsiri yake haina wachezaji sahihi wa kuwezesha kufikia malengo. Mimi ni mwananchi lakini sioni umuhimu wa simba kuwang'ang'ania wachezaji wasio na tija na timu.Timu haijatimiza malengo
Mwenyewe anakwambia Tray Again. Sijui ni Tray la mayai au?Leo hii chama amekuwa mzigo Simba?
Chama kwa sasa ana nini simba?Leo hii chama amekuwa mzigo Simba?
Kwenye mpila wakati ukikupita ndio basi tena, leo mess hayupo tena Barcelona, Ronaldo leo hii hayupo tena madridOngea yote mkuu ila mshukuruni sana Chama. Huyu mzambia amewasaidieni sana simba. Ni vile binadamu hatunaga shukrani tu
Lazima kuwe na mikakati ya kutimiza malengo, you need SMART goal setting stratagiesHuu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..
Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.
Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..
Simba nguvu moja..
Mimi nilishasema mapema,kwa hii Simba hakuna mchezaji yeyote anaweza kuringia kiwango chake kwa sasa.Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..
Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.
Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..
Simba nguvu moja..
Kuna wanazi wanakwambia chama haondokiMimi nilishasema mapema,kwa hii Simba hakuna mchezaji yeyote anaweza kuringia kiwango chake kwa sasa.
Akiona ana kiwango kikubwa sana,basi aondoke akapate maslahi makubwa kwingine
Kwenye hili nakuunga mkono. Mshahara mnono unategemea na mafanikio yako kwenye utendaji.Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba.
Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama kina chama, kibu d na saido..
Timu haijatimiza malengo, badala wachezaji wakatwe mishahara kwa kucheza chini ya kiwango eti yenyewe yanadai nyongeza ya mishahara na signing fee za kufuru.
Nitawadharau sana hawa kina Try again km wataongeza mshahara kwa hawa mabumunda kina kibu na chama..
Simba nguvu moja..
Anatusaidia?au ni majukumu yake ya kazi?Ongea yote mkuu ila mshukuruni sana Chama. Huyu mzambia amewasaidieni sana simba. Ni vile binadamu hatunaga shukrani tu
Jobe yeye hana majukumu ya kazi pale simba?Anatusaidia?au ni majukumu yake ya kazi?