Mimi ni shabiki wa Simba nakiri hali ya sasa kitimu ni tete sana. Mbali na matatizo yaliyopo kwa sasa kocha Lewik ni tatizo lingine pia. Haelewani na wachezaji. Kuna siku niliongea na mchezaji m1 wa Simba alisema jamaa mkoloni sana sio friendly kabisa. Tofauti kabisa na Milovan. No wonder wachezaji hawajitumi.
Naomba kamati ya utendaji kumrudisha haraka Milovan kipenzi cha wachezaji wanachama na wapenzi wa timu hii moja ili kurudisha umoja ndani ya timu.
Nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums