SIMBA MNATIA AIBU.

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Posts
11,476
Reaction score
24,264
Mchezaji wenu huyo beki wa kulia JEZI IMECHANIKA MUDA MREFU KWELI MPAKA ANAKOSA COMFORTABILITY UWANJANI, INAMAANA NYIE SIMBA HAMNA JEZI YA AKIBA YENYE JINA LA HUYO MCHEZAJI WENU MPAKA HALF TIME?

Usajili wa bei mbaya + kocha Mzungu lakini Mtibwa mpaka sasa wanaleta upinzani wakutosha na kikosi chao cha bei ya karanga... hahahaha TUNATAKA KUONA HUYO BEKI WENU ANARUDI UWANJANI NA JEZI MPYA YENYE JINA LAKE.
 
Tatizo lako nini kwani? Kama refa yupo uwanjani na anaona hakuna uvunjifu wa sheria kwa kuchanika hiyo jezi wewe ni nani mpaka u judge? Shut the f*ck up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako nini kwani? Kama refa yupo uwanjani na anaona hakuna uvunjifu wa sheria kwa kuchanika hiyo jezi wewe ni nani mpaka u judge? Shut the f*ck up.

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahaaha mkuu ile jezi inamnyima comfortability mchezani wenu maana akikimbia inajaa upepo na kumpa ugumu, pia ni aibu kwa timu kubwa kama simba mchezaji kufunga fundo jezi kwani inachukua muda gani kumpa jezi nyingine yenye jina lake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…