Game ya matola nimefurahishwa na uthubutu wake Wa kuanza na kikosi ambacho viungo washambuliaji ni aina ya viungo wanaoweza kukupa kitu IQ ya mpira,kupunguza watu kutokua na ubinafsi japo mpanzu Leo alikua anacheza kibinafsi kupumzishwa kwake ilikua ni maamuzi sahihi
Combination ya mutale na morice iko vizuri na mpira unauona walau nashauri kocha awe anaaanza hivi ahoua na kibu wakae kwanza nje waangalie wenzao first half simba imetawala mchezo kwa asilimia kubwa
Mligo anajitahidi japoo viatu vya legend zimbwe naona ni vikubwa bado tuendelee kumpa muda
De reuck kuna changamoto niliona last game kwenye 1 v 1 anapitika kirahisi kuna namna hafiki sana mguuni hata Leo kiasi tofauti na Malone japo ni kitasa mzuri ningekua kocha angeanza rushine + nangu
KIufupi nimependa matola alivyotoa nafasi kwa kila mchezaji ili ajihukumu mwenyewe na aoneshe uwezo na tumeona
Ungemalizia kwa kusema "Matola apewe timu"!! Ataendelea kuwa kocha msaidizi mpaka lini? Tangu atoke Lipuli akiwa ni kocha mkuu! Mpaka leo Matola ni kocha msaifizi tu, au kocha mkuu wa simba B! Ni kwamba hana uwezo, haaminiki, au!!
Taarifa zinaonesha tayari ana Leseni A ya CAF. Kwa hiyo kama vipi apewe timu. Na kama haiwezekani, ni wakati wake sasa na yeye ajiongeze kwa kutafuta timu ili awe kocha mkuu.