Mgogoro wenu hautuhusu ni nye wenyewe,Nakujibu hoja moja moja
1. Mechi ya Simba goli tano ilikuwa nadhani ni 2012 kulikuwa na mgogoro na mpasuko mkubwa Yanga asili na Yanga kampuni na usiku wa kuamkia mechi mimi nilitazama ITV saa mbili taarifa ya habari Mzee Akilimali alihojiwa na waandishi wa habari akaongea kwa hasira sana akavua kofia akaweka juu ya meza akasema tutaona kesho nani mkubwa Yanga. Simba msijifu hamkushinda ile mechi kihalali hebu tufungeni tena 5 mkiweza nahamia Kolo FC japo inaongozwa na demu na kabati lenu la kuweka makombe limejaa vumbi!! hujui kuhusu ule mchezo ulikuwa mdogo au hujazaliwa!
2. Simba imechukua wengi toka Yanga kuja kuwa mastaa Gadiel, Niyonzima, Morrison etc. hoja dhaifu
3.Gap la kimataifa miaka minne ya juzi juzi tu miaka ya nyuma hujui! Halafu tutabeba Kombe la CAF katika ufalme wa Prof Nabi na kufuta rekodi zote za Simba za miaka minne!!
4. Uwanja ni mipango ya timu Eng Hersi anakuja na uwanja wa Yanga ulio na ramani ya Santiago Bernabeu mtamuweza wapi?
Sema jingine!!
mnadinywa nyie na muhindi wenuMambo yao waachie wenyewe...
Mlikula 5-0,Tena hapo baada ya kuruhusiwa mchezaji wenu aliyefungiwa kwa utovu wa nidhamu achezeHofu itoke wapi hamna hata historia ya kutufunga mengi ,imebaki 1-0 mnapambana
Nakujibu hoja moja moja
1. Mechi ya Simba goli tano ilikuwa nadhani ni 2012 kulikuwa na mgogoro na mpasuko mkubwa Yanga asili na Yanga kampuni na usiku wa kuamkia mechi mimi nilitazama ITV saa mbili taarifa ya habari Mzee Akilimali alihojiwa na waandishi wa habari akaongea kwa hasira sana akavua kofia akaweka juu ya meza akasema tutaona kesho nani mkubwa Yanga. Simba msijifu hamkushinda ile mechi kihalali hebu tufungeni tena 5 mkiweza nahamia Kolo FC japo inaongozwa na demu na kabati lenu la kuweka makombe limejaa vumbi!! hujui kuhusu ule mchezo ulikuwa mdogo au hujazaliwa!
2. Simba imechukua wengi toka Yanga kuja kuwa mastaa Gadiel, Niyonzima, Morrison etc. hoja dhaifu
3.Gap la kimataifa miaka minne ya juzi juzi tu miaka ya nyuma hujui! Halafu tutabeba Kombe la CAF katika ufalme wa Prof Nabi na kwa pigo moja tu takatifu tutafuta rekodi zote za Simba za miaka minne na kurukaruka na kuishia njiani!!
4. Uwanja ni mipango ya timu Eng Hersi anakuja na uwanja wa Yanga ulio na ramani ya Santiago Bernabeu mtamuweza wapi?
Sema jingine!!
Umeandika haya kwa akili yako au umeandika mwiko ukiwa umechomekwa nyuma na unanuka kinyesiVikombe 28 Vya Yanga ndivyo vinavyomfanya Simba ashindane na Yanga. Mambo ya rank za CAF kama ni Kombe, au udhamini mkubwa kama ni Kombe basi mko vizuri ndugu mbumbumbu.
1978 goli 6 ,0 kulikuwa na mgogoro gani ?Nakujibu hoja moja moja
1. Mechi ya Simba goli tano ilikuwa nadhani ni 2012 kulikuwa na mgogoro na mpasuko mkubwa Yanga asili na Yanga kampuni na usiku wa kuamkia mechi mimi nilitazama ITV saa mbili taarifa ya habari Mzee Akilimali alihojiwa na waandishi wa habari akaongea kwa hasira sana akavua kofia akaweka juu ya meza akasema tutaona kesho nani mkubwa Yanga. Simba msijifu hamkushinda ile mechi kihalali hebu tufungeni tena 5 mkiweza nahamia Kolo FC japo inaongozwa na demu na kabati lenu la kuweka makombe limejaa vumbi!! hujui kuhusu ule mchezo ulikuwa mdogo au hujazaliwa!
2. Simba imechukua wengi toka Yanga kuja kuwa mastaa Gadiel, Niyonzima, Morrison etc. hoja dhaifu
3.Gap la kimataifa miaka minne ya juzi juzi tu miaka ya nyuma hujui! Halafu tutabeba Kombe la CAF katika ufalme wa Prof Nabi na kwa pigo moja tu takatifu tutafuta rekodi zote za Simba za miaka minne na kurukaruka na kuishia njiani!!
4. Uwanja ni mipango ya timu Eng Hersi anakuja na uwanja wa Yanga ulio na ramani ya Santiago Bernabeu mtamuweza wapi?
Sema jingine!!
hizi rekodi umepika Simba haina uwezo huo!1978 goli 6 ,0 kulikuwa na mgogoro gani ?
2020/2021 ASFC goli 4, 1 kulikuwa na mgogoro ?
1996 goli 4, 1 kulikuwa na mgogoro gani?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
1968 yanga 5-0 simbaWeka rekodi hapa
Nimeweka,julai mosi 1968 yanga 5-0 simbaKinyesi weka rekodi hai ,usilete story za kijiweni ambazo hazina ushahidi