nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Mkuu, huyo ni Simba mwenzenu. Tatizo, hapindishi maneno!SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa
najua wachezaji wengi ni washkaji zake,PIGENI MARUFUKU WASISALIMIANE NAYE KABLA YA MECHI manaa lazima litaenda na misri tupigwe tena ili lionekane linajua,lina masifa ya kihaya
NI ADUI WA SIMBA KUWENI MAKINI NALO
SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa
najua wachezaji wengi ni washkaji zake,PIGENI MARUFUKU WASISALIMIANE NAYE KABLA YA MECHI manaa lazima litaenda na misri tupigwe tena ili lionekane linajua,lina masifa ya kihaya
NI ADUI WA SIMBA KUWENI MAKINI NALO
KUNA BALAA LINAKUJA MISRI TUNAWEZA KUPIGWA HATA GOALS 10 KAMA MABEKI KURUKA JUU KUOKOA KONA HAWAWEZI,wasimpe mkono yile mhaya kabla ya mechi ni nuksi, he is trying to prove a point hata kama nusu ya nchi nzima itaumiaEeeeeh umepata wa kumpa lawama sio wachezaji walishindwa kujipanga na kujituma
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba, mkiambiwa ukweli mna nuna mnabadilisha ID alafu mnatukana watu.SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa
najua wachezaji wengi ni washkaji zake,PIGENI MARUFUKU WASISALIMIANE NAYE KABLA YA MECHI manaa lazima litaenda na misri tupigwe tena ili lionekane linajua,lina masifa ya kihaya
NI ADUI WA SIMBA KUWENI MAKINI NALO
Japo wewe ni Simba, lakini nakuelewa sanaAcha ushabiki Oya Oya wewe...... Unataka kusema Simba tukifungwa Dauda Kachomesha??
Anacheza namba ngapi uwanjani!?... Ushabiki gani huu??
Wabongo tunakua mwili tu kaka.. Sasa unajiuliza Dauda yuko benchi la ufundi la Simba??Japo wewe ni Simba, lakini nakuelewa sana
Watanzania hatupendi ukweli wa mambo , ndio maana wakati mwingine unawaza bora jiwe aendelee kunyoosha