benaboy Member Joined Oct 24, 2015 Posts 42 Reaction score 32 Jun 10, 2022 #1 Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu. Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu. Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,792 Jun 10, 2022 #2 Una uhakika ni bila aibu wanatoka? BTW sasahivi watafuata nguvu Sumbawanga ile ya Tanga c ilizingua kule S.A?
Una uhakika ni bila aibu wanatoka? BTW sasahivi watafuata nguvu Sumbawanga ile ya Tanga c ilizingua kule S.A?
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Jun 10, 2022 #3 Wana kombe la laana ( kombe la mapinduzi) ukichukua hili kombe umejipa mkosi wa kuchukua makombe ya maana
Wana kombe la laana ( kombe la mapinduzi) ukichukua hili kombe umejipa mkosi wa kuchukua makombe ya maana
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,120 Reaction score 5,871 Jun 10, 2022 #4 Asante Kwa thread.
redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 6,454 Reaction score 14,177 Jun 10, 2022 #5 Simba hawajatoka Kapa, Wamechukua taji la Timu inayo ongoza Kwa Imani za kishirikina barani Afrika. CAf wenyewe wamewatambua pasina shaka kwamba Simba wako vizuri katika JUJU.
Simba hawajatoka Kapa, Wamechukua taji la Timu inayo ongoza Kwa Imani za kishirikina barani Afrika. CAf wenyewe wamewatambua pasina shaka kwamba Simba wako vizuri katika JUJU.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Jun 10, 2022 #6 msimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma.
msimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,525 Reaction score 830,075 Jun 10, 2022 #7 benaboy said: Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu. Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao. Click to expand... Sio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapate
benaboy said: Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu. Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao. Click to expand... Sio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapate
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,816 Reaction score 118,953 Jun 10, 2022 #8 Hao ndiyo mabingwa wetu wa kombe la bonanza la mapinduzi! Huku kwingine wameangukia pua.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Jun 10, 2022 #9 Wamechukua kombe la mganga na kombe la robo fainali ya shirikisho
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Jun 10, 2022 #10 Heee... Walipolichukua Mapinduzi Ulikuwa Hujazaliwa....? Ukisema La Bonanza Huo ni utovu Wa nidhamu na Utopolo uliopitiliza na Kumdhalilisha Mwl. Nyerere na Mzee Karume Jambo ambalo Sisi WaTz Hatutakubali...
Heee... Walipolichukua Mapinduzi Ulikuwa Hujazaliwa....? Ukisema La Bonanza Huo ni utovu Wa nidhamu na Utopolo uliopitiliza na Kumdhalilisha Mwl. Nyerere na Mzee Karume Jambo ambalo Sisi WaTz Hatutakubali...
M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,747 Reaction score 3,729 Jun 11, 2022 #11 NAWATAFUNA said: msimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma. Click to expand... Kwa usajili wa akina shiza kichuya wa namungo na Nsssoro kapama wa kagera sugar kweli mtatisha si mchezo mkuu
NAWATAFUNA said: msimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma. Click to expand... Kwa usajili wa akina shiza kichuya wa namungo na Nsssoro kapama wa kagera sugar kweli mtatisha si mchezo mkuu
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Jun 11, 2022 #12 Mshana Jr said: Sio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapate Click to expand... Hakuna timu inayowaza hivi broo..!!! Haya ni maneno ya mkosaji
Mshana Jr said: Sio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapate Click to expand... Hakuna timu inayowaza hivi broo..!!! Haya ni maneno ya mkosaji