Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Ha ha mkuu hapo kwenye vifanyio kwa kweli waangalie manake nacho ni kifaa cha mchezo japo ni wa kitandani na sirini.“Nitoe shukrani kwa uongozi wa Simba na kwa Wanasimba. Naamini wamerudisha tumaini jipya kwa vijana wengi. Tunaenda kutengeneza vitu vingi kama jezi, t shirt, cover la simu, miwani, saa za Simba, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi.”- CEO wa Vunja Bei, Fred. #NguvuMoja
Nimependa hii ikiwezekana hadi condoms
Mkuu umemaliza huu ndo usomi unaotakiwa sio kuleteana hesabu ngumu.Akiprint jezi laki 5 mara 30000 maana yake ataingiza bil 15
Ukitoa bilion 2 ya simba na labda gharama za matengenezo bilion 6
Anabaki na faida ya bilion 7 hiyo ni minimum
Inakuuma eeehKampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka. Mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu.
Watanzania wengi bado tuna mentality za kikoloni,kuona makampuni ya kibeberu ndio pekee yenye ufanisi. Au kuona wazungu peke yao ndio wanaweza kufanya biashara.Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu
Ila jamaa una WIVU sana wewe.Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ha ha mkuu hapo kwenye vifanyio kwa kweli waangalie manake nacho ni kifaa cha mchezo japo ni wa kitandani na sirini.
Endelea na fikra zako za kimasikini kua kila kitu kizuri lazima kifanywe na mzungu.Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka.... mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu.
Tena wa kike na kichawiIla jamaa una WIVU sana wewe.
Mkuu ulisoma shule gani inayofundisha mambo rahisi namna hii?Akiprint jezi laki 5 mara 30000 maana yake ataingiza bil 15
Ukitoa bilion 2 ya simba na labda gharama za matengenezo bilion 6
Anabaki na faida ya bilion 7 hiyo ni minimum
Acha wajitekenye na kucheka wenyewe...Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka.... mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu.
Bilion mbili ni hela ya kawaida, watu kila siku wanananunua magofu kariakoo kwa bei hiyo na zaidi na kuyavunja na hakuna anaeshangaa.Kampuni kubwa ya vifaa vya michezo duniani Puma atoe bilioni moja kwa mwaka kwa timu kubwa ya mamelodi iliyopo nchi yenye purchasing power kubwa ya afrika kusini.
Mnaongeza sifuri kama wasanii wa bongo fleva, kisha mtudanganye muuza ronya ambaye hana hata audited financial statement nae anatoa bilioni moja kwa mwaka.... mnajua bilioni 1 ni sawa na milioni moja moja ziwe 1000, sasa huyo vunja bei anazitoa wapi hizo hela? Purchasing power ya watanzania unajua ikoje? Ndio maana hao kina puma, nike, adidas hatuwamudu.
Na ndivyo biashara inapaswa iwe mkuu hasa ukiwekeza pesa ndefuu kama alivyofanya kijana mwenzetu fredAkiprint jezi laki 5 mara 30000 maana yake ataingiza bil 15
Ukitoa bilion 2 ya simba na labda gharama za matengenezo bilion 6.
Anabaki na faida ya bilion 7 hiyo ni minimum