Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,195
Yanva inayocheza local ikashindwa international ππNdugu zangu wa simba, shida siyo wachezaji! Shida ni GSM anatuharibia ligi yetu. Hata kule kufungwa na Al Masry, chanzo ni GSM! Hili jambo hatutakiwi kulisahau hata sekunde moja. GSM anadhamini timu 7 kwenye ligi yetu.
Yaani wachezaji wanaocheza robo fainali eti sio wazuri bali wachezaji walioishia ngazi ya makundi ndio wazuri? Haki ya Mungu Tanzania SIHAMI hata Trump akinipa Green Card aliyoisaini personally!!Ni dhahiri Sisi mashabiki wa Simba tuna mapenzi makubwa na timu yetu na tunatamani kuona mafanikio endelevu. Katika kutafakari mwenendo wa timu, ni muhimu kuangalia kwa jicho la tatu aina ya wachezaji ambao watatufikisha kwenye malengo yetu.
Wakati tunawashuhudia wachezaji wengi wa Simba wakitumia nguvu, kasi, na kujituma uwanjani, kuna wasiwasi kuhusu uwezo wao wa kufanya maamuzi sahihi na kuwa na ubunifu katika eneo la mwisho. Mara nyingi, tunaona juhudi kubwa zinazokosa umakini na maarifa yanayohitajika ili kuleta madhara kwa timu pinzani.
Tunahitaji kukiri kuna pengo katika akili ya soka kwa baadhi ya wachezaji wetu. Tunashuhudia wachezaji ambao wanategemea zaidi nguvu na mikimbio kuliko uwezo wa kufikiri na kupanga mashambulizi kwa ufanisi. Matokeo yake, tunajikuta tukipoteza nafasi nyingi na kushindwa kuvunja ulinzi wa wapinzani kwa urahisi.
Ni wakati sahihi kwa uongozi wa Simba kuweka mkazo katika kusajili wachezaji wenye akili kubwa ya soka, kama tunavyoona kwa Clatous Chama, Pacome, Maxi, Fabrice , e.tc . Wachezaji wenye uwezo wa kuona nafasi, kupiga pasi zenye uhakika, na kufanya maamuzi sahihi chini ya presha ndio watakaotupeleka kwenye mafanikio makubwa.
Tusipuuze umuhimu wa kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kufikiri na kutumia akili zao uwanjani. Ni muhimu kuwekeza katika wachezaji ambao wanaweza kuleta ubunifu na mbinu mpya katika safu yetu ya ushambuliaji.
Tunahitaji timu ambayo ina mchanganyiko wa nguvu na akili. Kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kufikiri na kutenda kwa usahihi ndio tutaweza kushinda mechi na kufikia malengo yetu.
Simba inahitaji mageuzi katika aina ya wachezaji ili kuhakikisha tunakuwa na timu imara na yenye uwezo wa kushindana katika ngazi zote(Yanga) . Ni wakati wa kuwekeza kwenye akili ya soka kwa manufaa ya timu yetu.
Hapa jukwaa la michezo kuna tahira maarufu kukushinda wewe?Unashinda JF kuandika utumbo tu.
UNASIKITISHA SANA.
Kama utadhani ni wachezaji ndio wenye shida utakuwa umekosea.Ni dhahiri Sisi mashabiki wa Simba tuna mapenzi makubwa na timu yetu na tunatamani kuona mafanikio endelevu. Katika kutafakari mwenendo wa timu, ni muhimu kuangalia kwa jicho la tatu aina ya wachezaji ambao watatufikisha kwenye malengo yetu.
Wakati tunawashuhudia wachezaji wengi wa Simba wakitumia nguvu, kasi, na kujituma uwanjani, kuna wasiwasi kuhusu uwezo wao wa kufanya maamuzi sahihi na kuwa na ubunifu katika eneo la mwisho. Mara nyingi, tunaona juhudi kubwa zinazokosa umakini na maarifa yanayohitajika ili kuleta madhara kwa timu pinzani.
Tunahitaji kukiri kuna pengo katika akili ya soka kwa baadhi ya wachezaji wetu. Tunashuhudia wachezaji ambao wanategemea zaidi nguvu na mikimbio kuliko uwezo wa kufikiri na kupanga mashambulizi kwa ufanisi. Matokeo yake, tunajikuta tukipoteza nafasi nyingi na kushindwa kuvunja ulinzi wa wapinzani kwa urahisi.
Ni wakati sahihi kwa uongozi wa Simba kuweka mkazo katika kusajili wachezaji wenye akili kubwa ya soka, kama tunavyoona kwa Clatous Chama, Pacome, Maxi, Fabrice , e.tc . Wachezaji wenye uwezo wa kuona nafasi, kupiga pasi zenye uhakika, na kufanya maamuzi sahihi chini ya presha ndio watakaotupeleka kwenye mafanikio makubwa.
Tusipuuze umuhimu wa kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kufikiri na kutumia akili zao uwanjani. Ni muhimu kuwekeza katika wachezaji ambao wanaweza kuleta ubunifu na mbinu mpya katika safu yetu ya ushambuliaji.
Tunahitaji timu ambayo ina mchanganyiko wa nguvu na akili. Kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kufikiri na kutenda kwa usahihi ndio tutaweza kushinda mechi na kufikia malengo yetu.
Simba inahitaji mageuzi katika aina ya wachezaji ili kuhakikisha tunakuwa na timu imara na yenye uwezo wa kushindana katika ngazi zote(Yanga) . Ni wakati wa kuwekeza kwenye akili ya soka kwa manufaa ya timu yetu.
Hapa ni unamsema Ateba, Kibu, Mukwala na yule Mwanariadha wa DRC (Mpanzu).
Budget issuesHivi hii timu ya simba ina recruitment staff ?
Hivi huwa wanaangalia profiles za players wanaoendana na system of playing ya timu au huwa wanasajir tu?
Robo ya kombe gani?Hivi hii timu ya simba ina recruitment staff ?
Hivi huwa wanaangalia profiles za players wanaoendana na system of playing ya timu au huwa wanasajir tu?
Na mkafurushwa pia mkiwa kwenu.Yanga inasajili Max nzengeli, Aziz ki, Pacome, Mzize nk. Wenzetu mkasajili Jean ahoua chapombe, Elias mpanzi mikimbio, Mukwala na Ataiba aliyepewa jina la messi π Ngoja tuone
Na wakatimba club bingwa huku wengine wakiishia shirikisho na kina Enyimba πNa mkafurushwa pia mkiwa kwenu.
ππππππ
Na wakatimba club bingwa huku wengine wakiishia shirikisho na kina Enyimba πNa mkafurushwa pia mkiwa kwenu.
ππππππ
Na mmefurushwa huko, mmebaki ndondo cup.Na wakatimba club bingwa huku wengine wakiishia shirikisho na kina Enyimba π
Akili yako haina akili. Hivi, umeshindwa kutuliza kichwa na kusoma kilichoandikwa na ukaelewa?Yaani wachezaji wanaocheza robo fainali eti sio wazuri bali wachezaji walioishia ngazi ya makundi ndio wazuri? Haki ya Mungu Tanzania SIHAMI hata Trump akinipa Green Card aliyoisaini personally!!
Wewe ndio huna akili. Wachezaji wa Simba kwa Afrika wanalinganishwa na wachezaji wa Alhaly, Mamelodi, Wydad na Esperance. Yaani wakubwa wenzie! Usirudie tena!!Akili yako haina akili. Hivi, umeshindwa kutuliza kichwa na kusoma kilichoandikwa na ukaelewa?
Unaweza ukaniletea source ya taarifa yako?Wewe ndio huna akili. Wachezaji wa Simba kwa Afrika wanalinganishwa na wachezaji wa Alhaly, Mamelodi, Wydad na Esperance. Yaani wakubwa wenzie! Usirudie tena!!
Wewe kuna source yoyote uliyoiweka ya kupinga hoja yangu? PUMBAVU!Unaweza ukaniletea source ya taarifa yako?