Yule msemaji domo limezidi sana. Anaichora Simba kwneye level za kimataifa wakati hata mashindano ya kitaifa tunakosa uhakika wa kupata ushindi.Zinafungwa Barcelona, Madrid, Man City, Psg tena na timu ndogo tu. Mkuu Manara uwe unampuuza vinginevyo utaamini kweli Simba ni zaidi ya hizo timu nilizotaja.
Mtu wa Kwanza wa kufukuza Simba ni Haji Manara. Huyu anasababisha wachezaji kucheza Kwa hofu kubwa kutokana na Manara kuwakweza Sana Kwa mashabiki, viongozi wa nchi na jamiikwa jumla. Hivyo wachezaji wanaingia uwanjani na hofu kubwa ya kuhofiia Yanga hata kama wanacheza na timu nyingine isiyo Yanga. lakini wanahofia pia kumuangusha Manara, Mo, viongozi wa 'tff' hasa rais wa tff na viongozi wengine ambao wanashirikishwa Sana na Manara kwenye mambo ya Simba.Timu ya hovyo hii kila siku Manara anapiga tarumbeta la kusifia wachezaji wa Simba kuwa wana uwezo wa kuamua matokeo.
Wachezaji gani kwa mfano? Bora useme KMC wana kikosi kipana ila siyo genge la wavaa njumu la Simba.
Haji inaiponza Simba, Aussens hana uwezo wa kufundisha wachezaji wazembe kama mkude, kichuya, nk. Yeye labda apatiwe wachezaji professional wasiohitaji kufundishwa namna ya kutuliza mpira na kutoa pasi kama hawa wakwetu wanapohitaji kufanyiwa majaribio kwanza kabla ya kusajiliwa.Leo watu mmewashwa kweli kufungwa kwa Simba. Inaonyesha dhahiri kuwa ndio kidume chenu maana mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
Ulishaona mgunga (yanga) ukipigwa mawe? Nani anakula miba?
aaaah, kama wachezaji waliweza kuelewana hadi kumsikiliza na kufuata anachosema Djuma basi Djuma ndiye kocha anayefaa. Hata Moirhino na Aserne Wenger walikuwa makocha wazuri lakini wachezaji walikuwa hawaelewani kuliko sasa Ole na Emery na timu zinafanya vizuri.Masudi Djuma ungejua sababu aliyoondolewa Simba, usingekaa kuandika haya.
Mfaransa yule aliyeipa ubingwa kaondoka kisa figisu zake za kuutaka ukocha mkuu kilazima. Hadi huyu mbelgiji hawakuwa wakiiva akasema hamtaki awe msaidizi wake, ndiyo maana Simba kipindi ligi inaanza ilisuasua kisa mgogoro huo.
Alishaanza kuwamezesha wachezaji sumu ilimradi kocha aonekane siyo atimuliwe, sasa timu ikamwondoa ili yasije madhara zaidi akaigawa timu kisa ukocha mkuu.
Mechi alizokabidhiwa kama kocha mkuu, alifungwa zote tena ni muhimu mno timu ikiwa hatua ya fainali michuano mbalimbali.
Kiufupi Masudi hajafikia hadhi ya kuwa kocha mkuu, yule ni mfitini mzuri ila si kocha mzuri
Utakuwa uongo, Masoud amekuwa msaidizi tangu aingie SimbaMasudi Djuma ungejua sababu aliyoondolewa Simba, usingekaa kuandika haya.
Mfaransa yule aliyeipa ubingwa kaondoka kisa figisu zake za kuutaka ukocha mkuu kilazima. Hadi huyu mbelgiji hawakuwa wakiiva akasema hamtaki awe msaidizi wake, ndiyo maana Simba kipindi ligi inaanza ilisuasua kisa mgogoro huo.
Alishaanza kuwamezesha wachezaji sumu ilimradi kocha aonekane siyo atimuliwe, sasa timu ikamwondoa ili yasije madhara zaidi akaigawa timu kisa ukocha mkuu.
Mechi alizokabidhiwa kama kocha mkuu, alifungwa zote tena ni muhimu mno timu ikiwa hatua ya fainali michuano mbalimbali.
Kiufupi Masudi hajafikia hadhi ya kuwa kocha mkuu, yule ni mfitini mzuri ila si kocha mzuri
Ondoa kocha huyo anafundisha 'pedestrian' football ambalo lilizitoa Brazil, Spain kwenye ubingwa wa kombe la dunia. Kwenye ligi ya bongo ukicheza mpira slow vile utapata sare nyingi sana na ikitokea umefungwa hutarudisha goliVyovyote iwavyo lakini ukweli kiwango kinachooneshwa na timu yetu hakiridhishi kama kuna tatizo lolote ambalo lipo ndani ya uwezo wao viongozi walishughulikie mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi,mashabiki tunaumizwa kwa mwenendo wa timu yetu
Mkuu, huu utafiti umeufanyia wapi na kwa namna ipi? Yaani makelele ya Manara yawatie hofu wachezaji wa timu yake? Wakati mwingine ni bora kukaa kimyaMtu wa Kwanza wa kufukuza Simba ni Haji Manara. Huyu anasababisha wachezaji kucheza Kwa hofu kubwa kutokana na Manara kuwakweza Sana Kwa mashabiki, viongozi wa nchi na jamiikwa jumla. Hivyo wachezaji wanaingia uwanjani na hofu kubwa ya kuhofiia Yanga hata kama wanacheza na timu nyingine isiyo Yanga. lakini wanahofia pia kumuangusha Manara,
Hivi mnaweza kuonyesha uhusiano uliopo kati ya kelele za Manara na matokeo ya Simba? Yule anahamasisha watu wajaze uwanja, na pengine amefanikiwa sana. Kazi ya kocha na wachezaji haziathiriwi moja kwa moja na kelele zake. Hivi ndio kusema bila Haji Manara kuongea, Simba ingezifunga timu ngumu kama mabingwa wa DRC AS Vita? Kama TP Mazembe habebi ubingwa mbele ya Vita, ajabu ipi Simba kufungwa? Simba kuifunga Nkana na kuiondoa mashindanoni, unaona ni kitu cha kawaida tu?Yule msemaji domo limezidi sana. Anaichora Simba kwneye level za kimataifa wakati hata mashindano ya kitaifa tunakosa uhakika wa kupata ushindi.
Sasa uliza uambiwe, makocha kuanzia Omog hadi huyu wa sasa hakuna alowahi elewana na huyo jamaa hadi akawa anawagawa na wachezaji.Utakuwa uongo, Masoud amekuwa msaidizi tangu aingie Simba
Yeye kudai kuwa kocha mkuu si kosa kwanza alitakiwa awe kocha mkuu na Aussien awe msaidizi kwa viwango vyao vya ufundishaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ongea unachokifahamu vingine acha, tu, mpaka kuondolewa ilibidiaaaah, kama wachezaji waliweza kuelewana hadi kumsikiliza na kufuata anachosema Djuma basi Djuma ndiye kocha anayefaa. Hata Moirhino na Aserne Wenger walikuwa makocha wazuri lakini wachezaji walikuwa hawaelewani kuliko sasa Ole na Emery na timu zinafanya vizuri.
Yanga inafanya vizuri kwakuwa wachezaji na mwalimu ni kitu kimoja
Anaongea ujinga, kelele zisizo na maana ni ujinga.Hivi mnaweza kuonyesha uhusiano uliopo kati ya kelele za Manara na matokeo ya Simba? Yule anahamasisha watu wajaze uwanja, na pengine amefanikiwa sana. Kazi ya kocha na wachezaji haziathiriwi moja kwa moja na kelele zake. Hivi ndio kusema bila Haji Manara kuongea, Simba ingezifunga timu ngumu kama mabingwa wa DRC AS Vita? Kama TP Mazembe habebi ubingwa mbele ya Vita, ajabu ipi Simba kufungwa? Simba kuifunga Nkana na kuiondoa mashindanoni, unaona ni kitu cha kawaida tu?
Tuweke records sawa, Masoud hakumkuta Omog Simba. Hapo ndipo wenye uongoSasa uliza uambiwe, makocha kuanzia Omog hadi huyu wa sasa hakuna alowahi elewana na huyo jamaa hadi akawa anawagawa na wachezaji.
Aussien tu ndiyo kabaki ila wengie waliamua kuondoka kisa yeye. Simba ilipitia kipindi kigumu kisa huyo, kila mechi aliyopewa aongoze kaboronga.