Sisi tuna imani na timu yetu! Wachezaji wetu! Na kocha wetu Pablo. Wewe utakuwa umepewa tu bashasha ya kaki na Gii Esi Emu! Siyo bure.
Wataje hao mizigoNitajie kocha mzawa anayeweza kufundisha simba.Ibenge au kocha wa al haily hawako pale kwa bahati mbaya bali uwezo na vyeti vyao. Pablo ana matatizo ila tatizo kubwa ni uongozi wa simba kutosajili wachezaji wazuri na kubaki na wachezaji mizigo
Mhilu akisajiliwa kuchukua nafasi ya madenge , madenge alikuwa mzuri kuliko mhilu.Wataje hao mizigo
Mkuu Kumbe ukiwa hujavuta bangi zako huwa unaongea point?Jana Efue Morris alionesha uhai mkubwa sana kipindi cha pili. Pablo angemuanzisha kuanzia kipindi cha kwanza, huenda timu ingekuwa na uhai.
Mechi ya marudiano, mumshauri Pablo aachane na utaratibu wake wa kujaza wachezaji wazee uwanjani! Maana wanashindwa kabisha kunyumbulika. Mtu kama Erasto Nyoni, ifikie wakati astafishwe kwa manufaa ya timu.
Ni wakati sasa kwa vijana kama akina Jimmy Mwanuke, na wenzake kuaminiwa kwenye kikosi cha kwanza.
mambo ya simba hayawahusuWataje hao mizigo
Mkuu, wachezaji vijana wanatoka wapi Simba..? Timu Ina Wazee tu kuanzia kipa mpaka mshambuliaji..Jana Efue Morris alionesha uhai mkubwa sana kipindi cha pili. Pablo angemuanzisha kuanzia kipindi cha kwanza, huenda timu ingekuwa na uhai.
Mechi ya marudiano, mumshauri Pablo aachane na utaratibu wake wa kujaza wachezaji wazee uwanjani! Maana wanashindwa kabisha kunyumbulika. Mtu kama Erasto Nyoni, ifikie wakati astafishwe kwa manufaa ya timu.
Ni wakati sasa kwa vijana kama akina Jimmy Mwanuke, na wenzake kuaminiwa kwenye kikosi cha kwanza.
mambo ya simba hayawahusu
Wewe unatoa maoni kama mwanamichezo bila kujali timu unayoshabikia, hoja yangu iliwalenga wale waliotanguliza ushabiki badala ya kujadili mada husikaKwa nini hayatuhusu mkuu! Yanga itakuwa bora iwapo kutakuwepo na simba bora.
Ndiyo maana misimu miwili iliyopita, mlitusema sana kuhusu kikosi chetu dhaifu cha akina Yikpe na Sarpong! Tuliwasikiliza, na kufanyia kazi maneno yenu! na leo hii tuna Fiston Mayele Mzee wa kutetema!! Tuna dokta Aucho! Screen Protector! Na mastaa chungu nzima!
Na mwisho kabisa, timu inaendelea kufanya vizuri.
Kwani Pablo ndiye amewasajili hao wachezaji? Mbona unabwabwaja kama umekunywa maji ya chooni? Hao makocha wa ndani unaosema wanachoweza ni kupaki bus na kuumiza wachezaji wa timu pinzani.