Simba forwdline and teamwork

Huja

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
1,327
Reaction score
2,048
Nimewahi kusema mechi za nyuma , SIMBA wanacheza vizuri sana kuanzia nyuma hadi katikati....

Inachokosekana uwezo wao wa kuvuruga defence pinzani. Magoli mengi yanatokana na krosi za full back zao au penalti....na sio ubunifu wa kati.

Utaina mechi ya AL MASRY ambayo walijaa nyuma baada ya goal la kwanza, KIBU ana receive ndani ya 18 hajui afanye nini zaidi ya kukatiza katikati ya msitu haangalii pisition ya wengine.. the same kwa MPANZU ananiambia sana lakini final ni kama hamtuti team Mate bali KIPA zaidi.

NGOMA ni pass master lakini sio kiuongo wa haraka kuivunja backline. ( Mfano Aziz key) ...
ATEBA hali kadhalika, angalia anapo receive mpira akili ya kwanza kwake ni shooting na sio pisition...

Mechi ya AL NASRY, ona attempt ya KAPOMBE kidogo ilete madhara ....SIMBA walibaki na option ya either kila mmoja kujaribu ku shoot, au kupiga Mpira ya juu ambapo kwanza kwa number walikuwa wachache always lakini pia Al MASRY warefu....

Imagine kwa acceleration ya MPANZU na KIBU wangekuwa wanaangalia juu na position na kushambulia kwa TEAMWORK.
Walau MKWALA anakumba na kubadili pisition...

Lau FADLU atasikia ,au apate msaidizi wa kunyoosha forward, SIMBA ya FADLU awe ALHALY, MAMELODY , RAJA lazima wabananike...
Next usajili hebu tafuteni forward wajanja wa kisasa , ..kwangu KIBU na ATEBA sio wanyumbulifu.

Simba ilivyowakamata hao MASRY haya 3 wangekufa pangekuwa na powerful acceleration na kuchagua position
 
Yule dogo striker alikuwa geita mbona hawamchezeji hawa mwakarobo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…