Simba day yaingiza milion 376

Hebu ngoja kwanza hiyo ndio net amount waliyopata Simba baada ya makato au kabla?
 
Kama wakatisha ticket wameiba
 
Baridiiiiiii fc uwezo wa kufikiri ni wa kibaridiii
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…