Siku hiyo lazima niwepo nishuhudie hat-trick ya mavugo na brace ya hamis kiiza. Hongera Aveva kwa kuweka kiingilio ambacho kila mtu atakimudu. Naimani hata mashabiki wa Ndala lazima wajichukulie uanachama ili waje kushuhudia soka la kasi, pasi fupi fupi za uhakika.