Umbwa maza wakowatazunguka wewe,mwishowe watanasa umbwa hawa
Kwa thamani gani unaweka iyo logo Kama mkataba wameingia tff lazima uwe na maslahi kwa club mbona NBC haijaleta longo longo hivi Kama ni tff kasaini ibaki kwenye boards za matangazo sababu Bila hizi club za ligi kuu je tff yafaaa Nini?shida Hawa gisiemu wanalelewa SanaHawa ni wapuuzi tu ni genge fulani hivi la wahuni wanaleta porojo za kupotezeana muda tu, wanasema awakushirikishwa sijui mikataba yote ya wadhamini ya tff uwa wanashirikishwa...
Eti GSM hawaimiliki Yanga?uwe mkweli bro eng.hersi ana cheo gani?Hawa ni wapuuzi tu ni genge fulani hivi la wahuni wanaleta porojo za kupotezeana muda tu, wanasema awakushirikishwa sijui mikataba yote ya wadhamini ya tff uwa wanashirikishwa...
“Kule Yanga mwenye akili ni Mzee Kikwete na Sunday Manara peke yake” by Semaji la Yanga.TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM...
Unamlaumu nini gsm wewe, kwani aliemfuata mwenzake kuomba udhamini ni nani? Gsm kaombwa udhamini kakubali kuweka pesa Kama alivyoombwa pia kudhamini championship akakubali kwaiyo habari ya kumlaumu gsm ni mambo ya ovyo ovyo ndo maana ametulia zake anasubili makubaliano ya kimkataba yatekelezwe na sio vinginevyoKwa thamani gani unaweka iyo logo Kama mkataba wameingia tff lazima uwe na maslahi kwa club mbona NBC haijaleta longo longo hivi Kama ni tff kasaini ibaki kwenye boards za matangazo sababu Bila hizi club za ligi kuu je tff yafaaa Nini?shida Hawa gisiemu wanalelewa Sana
Hawa ni wapuuzi tu ni genge fulani hivi la wahuni wanaleta porojo za kupotezeana muda tu, wanasema awakushirikishwa sijui mikataba yote ya wadhamini ya tff uwa wanashirikishwa?...
Ni dhahiri kwamba kile kingereza hujaambulia kitu zaidi ya yanga na gsm. Hakuna popote yanga au gsm wamelalamikiwa bali TFF ndio wamehojiwa imekuwaje mdhamini akawakilishwa na viongozi wa klabu inayoshiriki ligi?Hawa ni wapuuzi tu ni genge fulani hivi la wahuni wanaleta porojo za kupotezeana muda tu, wanasema awakushirikishwa sijui mikataba yote ya wadhamini ya tff uwa wanashirikishwa?...
Nyie ni mataahira tu, Manara ni brand ambasador wa gsm ulitaka asiwepo? Eng, hersi ni mkuu wa idara ya uwekezaji gsm mlitaka asiwepo? Kwaiyo nyie siku izi mnawapangia watu na kampuni zao waendesheje taasisi zao? Kuwepo kwao yanga aiwazuii kutofanya shughuli walizopangiwa na mwajiri wao eti kwasababu wapo yanga, kwani wakati Gharibu anamuajiri hersi alikuwa anajua atakuja kuchaguliwa kuingia kwenye kamati ya utendaji ya yanga? Au wakati anamuajiri alijua kuna siku ataidhamini ligi kuu? Sababu za ovyo ovyo izo hazina mashiko kwa mtu mwenye akili timamuNi dhahiri kwamba kile kingereza hujaambulia kitu zaidi ya yanga na gsm. Hakuna popote yanga au gsm wamelalamikiwa bali TFF ndio wamehojiwa imekuwaje mdhamini akawakilishwa na viongozi wa klabu inayoshiriki ligi?
Basi nembo ikae kwenye jezi ya tffUnamlaumu nini gsm wewe, kwani aliemfuata mwenzake kuomba udhamini ni nani? Gsm kaombwa udhamini kakubali kuweka pesa Kama alivyoombwa pia kudhamini championship akakubali kwaiyo habari ya kumlaumu gsm ni mambo ya ovyo ovyo ndo maana ametulia zake anasubili makubaliano ya kimkataba yatekelezwe na sio vinginevyo
Kama mfuatiliaji mzur wa soka la Tz, unaweza ukadirik kusema GSM analelewa?Kwa thamani gani unaweka iyo logo Kama mkataba wameingia tff lazima uwe na maslahi kwa club mbona NBC haijaleta longo longo hivi Kama ni tff kasaini ibaki kwenye boards za matangazo sababu Bila hizi club za ligi kuu je tff yafaaa Nini?shida Hawa gisiemu wanalelewa Sana
Mbona senzo na wengine hutaji, malizia tuNyie ni mataahira tu, Manara ni brand ambasador wa gsm ulitaka asiwepo? Eng, hersi ni mkuu wa idara ya uwekezaji gsm mlitaka asiwepo? Kwaiyo nyie siku izi mnawapangia watu na kampuni zao waendesheje taasisi zao? Kuwepo kwao yanga aiwazuii kutofanya shughuli walizopangiwa na mwajiri wao eti kwasababu wapo yanga, kwani wakati Gharibu anamuajiri hersi alikuwa anajua atakuja kuchaguliwa kuingia kwenye kamati ya utendaji ya yanga? Au wakati anamuajiri alijua kuna siku ataidhamini ligi kuu? Sababu za ovyo ovyo izo hazina mashiko kwa mtu mwenye akili timamu
Hoja zikizoko kwenye ile barua ulizielewa? Kama hujazielewa nenda kasome tena halafu urudi usome hiki ukichoandika hapa.Nyie ni mataahira tu, Manara ni brand ambasador wa gsm ulitaka asiwepo? Eng, hersi ni mkuu wa idara ya uwekezaji gsm mlitaka asiwepo? Kwaiyo nyie siku izi mnawapangia watu na kampuni zao waendesheje taasisi zao? Kuwepo kwao yanga aiwazuii kutofanya shughuli walizopangiwa na mwajiri wao eti kwasababu wapo yanga, kwani wakati Gharibu anamuajiri hersi alikuwa anajua atakuja kuchaguliwa kuingia kwenye kamati ya utendaji ya yanga? Au wakati anamuajiri alijua kuna siku ataidhamini ligi kuu? Sababu za ovyo ovyo izo hazina mashiko kwa mtu mwenye akili timamu