Simba ni bora kuliko yanga if you watch how simba play, 1-1 na wabrazili yanga walichapwa tatu. kinachokosekana nchini kwenu ni timu kuwa na viongozi wenye tija na kuleta maendeleo yale yale ya dowans
na hicho ndicho kilele cha mpira wa Tanzania. we will never go beyond simba and yanga kwa sababu akili zetu sote hata TFF na serikali zimekomea hapo. No other plans, no development and investment in footbal.
Simba ni bora kuliko yanga if you watch how simba play, 1-1 na wabrazili yanga walichapwa tatu. kinachokosekana nchini kwenu ni timu kuwa na viongozi wenye tija na kuleta maendeleo yale yale ya dowans
Yaani matokeo kutoka kwa wabrazil ndio kipimo cha Simba kwa Yanga???? Whats next now??
Utajisikiaje ikitokea Yanga ikasemwa bora kuliko Barcelona??? Au Simba bora kuliko Real Madrid??? Au Azam FC bora kuliko Man Utd???
Tupanue mawazo yetu, tuwaige TP Mazembe ambao wao wana uthubutu wa kusema ni bora kuliko Arsenal, Man Utd, Real Madrid kwa mwaka 2010. Ni klabu bingwa namba 2 ya dunia. Wanawika mpaka nje ya mipaka ya Africa kisoka,