Sasa ndio naamin team yangu pendwa simba bila mchezaji aina ya chama hatuna mbinu za kufunga
Hasa tunapocheza na team kubwa nashindwa kuamin mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira kulenga goli sasa tungefungaje?
Medee kagere mfungaji bora wa VPL misimu miwili yote kashindwa kuchukua na kuweka waaa golini.
Hii yote ukiangalia hapakuwa na mtu km C Chama wa kupenyeza penetrating pass za kutegeneza nafas kwa kina Mugulu.
Utopolo wana lenga lango mara 5 sisi mabingwa mara 0 not fair kipimo cha matola kimeishia hapo hana uwezo wa kutupa ubingwa vpl km anashindwa kutengeneza mbinu za mchezaj kulenga lango.