CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 11,553
- 25,403
Simba hoyeee 😆 😆Mimi na rafiki yangu Kalpana tuna imani kubwa na kocha wetu Juma Mgunda aka Guardiola Mnene.
Kupitia Juma Mgunda, tuna uhakika wa kufika nusu fainali kwenye Champions League! Lakini pia tunaweza kuurejesha ubingwa wa Ligi kuu msimu huu kutoka mikononi mwa watani wetu.
BannedNimemuona jana alikua Chamazi
Acha roho mbaya mtani. Kuna watu wanatukana watu humu, halafu hawapigwi ban, wala nini.Banned
Unaisoma hii comment ukiwa guest na huna jeuri yeyote ya kuijibu
Siyo kwamba Pablo anaenda Azam fc!!??Wakuu nimesikia tetesi kwamba Kocha wa 2020 - 2021 Pablo Flanko Martine yupo Tanzania. Pablo alikuwa akizira zira, alikuwa akigombana na akina Wawa, anapigapiga Machupa, hajawahi kuwa na ubingwa wowote. Na limpira lake la kukimbia kimbia.
Kuna tetesi kwamba huenda akamalizana na Uongozi wa Simba kurudi kibaruani kama Kocha Mkuu.
Kumrudisha Huyu mtu ni kwenda kujihakikishia kushika nafasi ya tatu.
1. Yanga
2. Azam
3. Simba
Tujiandae kisaikolojia.
Ushauri
Ningetamani sana Simba wamrudishe Didier Gomez Darosa. Huyu ni moja kati ya Makocha wangu bora kabisa kuwahi kuwaona Tanzania. Ila kiherehere cha kumtoa Simba kwa uzembe wa Wawa kwenye mchezo wa Jwaneng Galax.
Kulikuwa na tetesi kuwa Simba imemalizana na kocha wa Vipers ya Uganda, Mabingwa wa soka nchini Uganda Robertinho Oliviera.
Kocha huyo ambaye amekuwa na msimu bora na klabu hiyo ya nchini Uganda na inaelezwa amewavutia mabosi wa Klabu ya Simba miamba hiyo ya soka nchini Tanzania. Kocha wa Vipers ni mzuri, ikishindikana Gomez.
NB: Simba waache ushamba wa kubabili makocha.
Na mbaya zaidi Kuna watu wakikuripoti upigww ban haichelewi,hata Kama hapakua na mantiki ya ban,Kuna mjumbe nilimuuliza wewe kutwa na mada za chama chako pendwa,Kuna mtu twita naye kutwa mada za chama hichohicho,wewe ndiye huyo,akaniripoti eti nimemtaja jina nipigwe ban,nikapigwa wiki mzee,forum ya watu hii!!Acha roho mbaya mtani. Kuna watu wanatukana watu humu, halafu hawapigwi ban, wala nini.
Halafu ni wakati sasa wa kuwashauri wenye hii jamii forums, kuruhusu mjumbe aliyepigwa ban kuingia kama mgeni! Badala ya kumfungia hata kusoma tu mada zilizomo humu.
Haya ni manyanyaso ya wazi kabisa!
Hizi ban zao zimekaa kisiasa siasa sana.Na mbaya zaidi Kuna watu wakikuripoti upigww ban haichelewi,hata Kama hapakua na mantiki ya ban,Kuna mjumbe nilimuuliza wewe kutwa na mada za chama chako pendwa,Kuna mtu twita naye kutwa mada za chama hichohicho,wewe ndiye huyo,akaniripoti eti nimemtaja jina nipigwe ban,nikapigwa wiki mzee,forum ya watu hii!!
Kaka unajua boli sana na una jicho la kiufundi.Kocha alikuwa Kishingo. Yule jamaa alikuwa vzr sana.
Da Rosa alikuwa mweupe Sana, wengi tulidhani alikuwa kocha mzuri kutokana na jinsi timu aloyoipokea toka kwa Sven ilivyokuwa inacheza pira BIRIAN, aisee msimu ulivyoanza, akaenda pre season na timu yake aliyoisajili, ilirudi inacheza pira takataka
Ukipigwa ban bado unayo access ya kusoma mijadala except kuwa mchangiajiAcha roho mbaya mtani. Kuna watu wanatukana watu humu, halafu hawapigwi ban, wala nini.
Halafu ni wakati sasa wa kuwashauri wenye hii jamii forums, kuruhusu mjumbe aliyepigwa ban kuingia kama mgeni! Badala ya kumfungia hata kusoma tu mada zilizomo humu.
Haya ni manyanyaso ya wazi kabisa!
Mimi mbona waliponipiga hiyo ban yao ya wiki, ilikuwa nikijaribu tu kufungua inaniletea maelezo ya kupigwa ban! Yaani nilikuwa sina access yoyote ile hata ya kusoma kilichomo humu!!Ukipigwa ban bado unayo access ya kusoma mijadala except kuwa mchangiaji
Nakuunga mkono na mguu piaKocha alikuwa Kishingo. Yule jamaa alikuwa vzr sana.
Da Rosa alikuwa mweupe Sana, wengi tulidhani alikuwa kocha mzuri kutokana na jinsi timu aloyoipokea toka kwa Sven ilivyokuwa inacheza pira BIRIAN, aisee msimu ulivyoanza, akaenda pre season na timu yake aliyoisajili, ilirudi inacheza pira takataka
Siyo kwamba Pablo anaenda Azam fc!!??
Nakuunga mkono na mguu pia
Yule Kishingo ni kocha haswaaa.