Mwanzoni ulisema umeangalia kwa camera ya nyuma ni faulo ya wazi kabisa. Saivi unasema jamaa kaunawa mpira bila ubishi. Inaonekana unafosi uhalali wa penatiIla penati ile mi mwenyewe mwanzo nilijua tumebebwa mpaka nika wish bora tukose
Ila kilichokuja kunibadili mawazo ni ile view iliyokuja kuonesha kutoka upande wa nyuma ya goli, jamaa aliunawa mpira bila ubishi
Siwalaumu wanaosema ile penati ya kubebwa kwasababu wanatoa maoni kupitia ile replay ya kwanza na wapo wengine hawajaangalia mpira wanafuatilia huu uzi kama updates nao wana piga kelele kua penati ya mchongo kwasababu ya kusikiliza maoni ya wadau kutoka kundi hilo lililo jaji penati kwa kuangalia view ya upande mmoja
Sasa sio mara ya kwanza. Tukianza kufukua makaburi hizi point za simba hazina uhalali. Swali ni kwamba ni lazima simba na Yanga zishinde ndo ligi iwe kamili?Ila penati ile mi mwenyewe mwanzo nilijua tumebebwa mpaka nika wish bora tukose
Ila kilichokuja kunibadili mawazo ni ile view iliyokuja kuonesha kutoka upande wa nyuma ya goli, jamaa aliunawa mpira bila ubishi
Siwalaumu wanaosema ile penati ya kubebwa kwasababu wanatoa maoni kupitia ile replay ya kwanza na wapo wengine hawajaangalia mpira wanafuatilia huu uzi kama updates nao wana piga kelele kua penati ya mchongo kwasababu ya kusikiliza maoni ya wadau kutoka kundi hilo lililo jaji penati kwa kuangalia view ya upande mmoja
Mwanzoni nilisema tumebebwa, hiyo ni baada ya kuona replay kutoka kwenye angle iliyokuwa ina face langoMwanzoni ulisema umeangalia kwa camera ya nyuma ni faulo ya wazi kabisa. Saivi unasema jamaa kaunawa mpira bila ubishi. Inaonekana unafosi uhalali wa penati
Sasa ofsa kwani ile penati ya yanga na namungo unaweza kuijadili kwa namna gani ukaitofautisha na hizi za simba unazozita fraud?Sasa sio mara ya kwanza. Tukianza kufukua makaburi hizi point za simba hazina uhalali. Hata za Yanga pia japo huu msimu Simba wamezidi.
Mfano hai
Hii kitu inasababisha ligi iwe ni timu mbili wengine wawe wasindikizaji. Wangefanya kuwa kuna timu mbili tu simba na yanga mshindi apewe kombe hawa wengine wagombanie kombe madaraja mengine.
Ndo upuuzi ninaoongelea, Nikaedit maoni yaliyopita kuwa Hapa kama ni mpenzi wa soka unataka kapesa kako uwekeze kwa katimu ulikokapenda kanakojituma ushawishi na marafiki wajipige pige hivyo hivyo timu iongeze juhudi uwanjani ukikumbuka haya unaghairi na kuweka nguvu kwenye mpira wa Epl na kununua tiketi za kuona mpira live kama utaweza maana utaufurahia mpira kuliko hiyo pesa uwaongezee nguvu wanyongwaji wa hapa Tanzania.Sasa ofsa kwani ile penati ya yanga na namungo unaweza kuijadili kwa namna gani ukaitofautisha na hizi za simba unazozita fraud?
Au ile ya mayele kushika halafu penati wanapewa yanga?
Hapa akili yako ilifosi penati iwe halali kuna faulo imechezwa na umejiridhisha kwa angle ya camera ya nyuma. Mimi ndio nikakwambia mbona wenzako wanahisi pengine labda ni penati iliyotokana na kushika mpira ndipo ukaja na kauli mpya eti umejiridhisha kwa camera ya nyuma kuwa mpira umeshikwa. Tuwekee hapa hiyo clip inaonesha upande wa angle hiyo unabwabwaja eti clip inagoma. Acha ushabiki mkuuWacha ionekane hivyo hivyo nani ana jali?
Halafu hawa azam ndio wanaleta fitna kwa camera zao kuwa chini ya kiwango mpaka kufikia inatokea mtafaruku kama huu
Yani ukiangalia katika angle moja huwezi ukaona ile foul mpaka utumie ile camera iliyokua nyuma ya goli
Daah yani we jamaa mbona unatumia nguvu kubwa kufosi ionekane sio penati?Hapa akili yako ilifosi penati iwe halali kuna faulo imechezwa na umejiridhisha kwa angle ya camera ya nyuma. Mimi ndio nikakwambia mbona wenzako wanahisi pengine labda ni penati iliyotokana na kushika mpira ndipo ukaja na kauli mpya eti umejiridhisha kwa camera ya nyuma kuwa mpira umeshikwa. Tuwekee hapa hiyo clip inaonesha upande wa angle hiyo unabwabwaja eti clip inagoma. Acha ushabiki mkuu
Huruma gani wewe, wahenga walisema simba mwenda pole ndie mla nyama.Hahahaaa. Lol.
Ila hujui tu nakuonea sana huruma. 😅
Kwa kutumia marejeo ya Azam niliyofanikiwa kuyaons haikuonesha mchezaji wa Prisons akishika mpira. Bahati nzuri mwenzetu umepata nafasi ya kuona clip ya angle ya camera ya nyuma. Tupia hapa utudhibitishie kuwa ni penati halaliDaah yani we jamaa mbona unatumia nguvu kubwa kufosi ionekane sio penati?
Hivi umejiridhisha vya kutosha mpaka ukaona hiyo sio penati?
Refa Ahmad Simba kwa uamuzi wako wa leo hukumu inakuhusu na Ni MOTONI moja kwa mojaESPRESSO COFFEE leo uko wapi mpaka nimeamua kujitoa muhanga?
Muhindi: Simba Mwenda Pole Jua Iko Gonjwa Kama Sio Gonjwa.....Iko Senge [emoji23]Huruma gani wewe, wahenga walisema simba mwenda pole ndie mla nyama.
SIMBA NGUVU MOJA
haters wakiamua kubisha hata uwe na maelfu ya hoja huwezi kuwa conviceWale mnaosema hakuugusa, msikieni goalkeeper wa prisons ambaye alikuwepo eneo la tukioView attachment 2106972
Hio camera umeiona peke yako?Daah yani we jamaa mbona unatumia nguvu kubwa kufosi ionekane sio penati?
Hivi umejiridhisha vya kutosha mpaka ukaona hiyo sio penati?
Tuko nyuma sana ya teknolojia kama imefikia mchezaji ndio mtu wa kutudhibitishia matukio yenye utata.Umeskia kauli ya goal keeper wa prisons?
Kwahivyo zikiongezwa dakika nyingi anayecheza ni Simba SC tu, hiyo timu nyingine ingali imesimama tu haichezi wala haifungi bao, endapo bao litafungwa litakataliwa kwa kuwa hizo dakika ni za Simba SC.Simba Tulichobaki Saiv Ni Mpinzani Kutafutiwa Kadi Nyekundu Au Tupewe Penalty Au Tuongezewe Muda Mrefu Baada Ya Dk 90 Na Kama Tukiwa Tunaongoza Goli Moja Muda Wa Nyongeza Uwe Kidogo Hata Kama Zlipotea Dk Nyingi Uwanjani Ndo Tushinde [emoji17]