habarini wakuu.
naomba mwenye ufahamu wa hii 'SIM - network unlock code' kwa mtandao wa vodafone (uk) anisaidie. nimeletewa simu toka uk lakini unapoweka sim card inaandika maneno hayo hapo juu, pia inaandika 'perso locked' natanguliza shukurani zangu!