Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 May 21, 2016 #1 Wadau kwenye hii Tecno p5 ya rafiki yangu ile sehemu ya sim management-defaut setting kwenye voice call,video call,messages hizo sehemu zimejifunga kwa hiyo huwezi kubadili chochote mfano unataka voice call iwe always. Naomba msaada wenu wakuu.
Wadau kwenye hii Tecno p5 ya rafiki yangu ile sehemu ya sim management-defaut setting kwenye voice call,video call,messages hizo sehemu zimejifunga kwa hiyo huwezi kubadili chochote mfano unataka voice call iwe always. Naomba msaada wenu wakuu.
barakachaplin Senior Member Joined Jan 24, 2014 Posts 125 Reaction score 56 May 21, 2016 #2 si uondoe flytmode
barakachaplin Senior Member Joined Jan 24, 2014 Posts 125 Reaction score 56 May 21, 2016 #3 flight mode ipo on
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 May 21, 2016 Thread starter #4 Flight mode iko off wakuu