Yani hata mtoto akiwa ananyonya namuonea wivuYaani unaionea zawadi wivu!!
Nah.
...Plus the guy was my best friend hangenidhuru
Nyani NgabuHiki kingreza mbona kama nakijua!!!
Itakua WW3 maana ndio kumbukumbu yake nilobakiwa nayo.Anaweza lia aisee.
Hahahaaaa!!! Kichaa wewe.Yani hata mtoto akiwa ananyonya namuonea wivu
Hahahaaa! Kama nakuona.Do you believe this????
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiki kingreza mbona kama nakijua!!!
yani kwa kifupi mliiba si ndio..Nnakamdoli tangu 2012 nimekahifadhi tyuu
Hako kamdoli nilikapenda saba kalikuwa kwenye zipu ya pochi Ila Hiyo pochi ckuipenda nilipenda mdoli tyuu
Ikabidi nimbembeleze anaeuza iyo pochi aniuzie mdoli peke ake, wakati nambembeleza rafiki yangu alimchomoa uyo mdoli akamweka kwenye pochi yake kimyaa tukanunua pochi nyingine tofauti naile,njian ndo akanipaga mpk leo kapo tyuu Japo kuwa hakana kazi sehemu ya kupitishia kamba ili nimweke kwenye zipu ilishavunjikaga muda tu
Kumbe kale ka kwangu ushatupa kule!!!Hahahaaaa!! Si wewe ndio ulonipa baby jamani!!!
Even iHiki kingreza mbona kama nakijua!!!
Hahahaaa!! Kipya hakinyemi.Kumbe kale ka kwangu ushatupa kule!!!
Hahahaaaa!!! Jiandae kuacha kamoja.Even i
Nikiwa na wewe tu ndo nakua hiviHahahaaaa!!! Kichaa wewe.
Ndo mimi