Silly things we cling to

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Well, vinaweza kuwa sio vya kipuuzi wala clutter as such. But kuna vitu ambavyo huwa tunaviweka maishani mwetu na sio vya umuhimu kivileee ila basi tu.

Nina mkanda wangu aisee huu ni mwaka wa 12 kama sikosei nauvaa tu. I should be ashamed but am not. Nina memories nao nakumbuka it belonged to my boyfriend who is now my husband. Na mara ya kwanza kuuvaa nilikuwa sijui kuufungua na hapo nilibanwa ku pee so my male bestfriend had to do me the honor.

Nina Shem wangu bana ilibidi mswaki wake tuuvizie tuutupe. Ulishaisha ukawa umebaki bristles kama kumi na bado anautumia eti kisa aliununua Uganda alipoenda kumtembelea Ex Gf wake. 😛😛

So tutieni story, una kitu gani ambacho umekiweka mda mrefu ? Kwanini bado unacho na una memories gani nacho? 😀😀😀😀

Hornet, Mentor Asprin Da vincci Mzigua90 etc
 
Nnakamdoli tangu 2012 nimekahifadhi tyuu

Hako kamdoli nilikapenda saba kalikuwa kwenye zipu ya pochi Ila Hiyo pochi ckuipenda nilipenda mdoli tyuu

Ikabidi nimbembeleze anaeuza iyo pochi aniuzie mdoli peke ake, wakati nambembeleza rafiki yangu alimchomoa uyo mdoli akamweka kwenye pochi yake kimyaa tukanunua pochi nyingine tofauti naile,njian ndo akanipaga mpk leo kapo tyuu Japo kuwa hakana kazi sehemu ya kupitishia kamba ili nimweke kwenye zipu ilishavunjikaga muda tu
 
I am a chupi collector.

Every chick I smash I keep one of her underwear.

What do I do with them? Nothing important. It’s just silly stuff.

Sometimes I wear them around my neck. Sometimes I just look at them. Other times I sniff them.

I know....I’m very eccentric teh teh teh....
 
Hiki kingreza mbona kama nakijua!!!
 
Hahaha, binadamu ni kiumbe hatari sana duniani. Civilized but can be so foolish at times, umenichekesha sana mkuu.
 
Teh teh.. Uwa hawazidai chupi zao??.. Au unakua ushamfahamisha mapema ili abebe ya ziada..
 
kamdoli ka wizi hako. lol
 

Yaani wewe.

Armpit sniffer to panty collector😀😀

what next.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…