Silaha ya Hatari, tukutane October

Silaha ya Hatari, tukutane October

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
Najua CCM watajaribu kuiba kura yangu na kumpa mgombea/wagombea wao kama kawaida yao na kama walivyo fanya katika chaguzi zilizopita lakini angalau nitakuwa nimetimiza wajibu wangu wa kupigia kura UKAWA. Nimepata silaha, si nyingine ni kadi yangu ya kupigia kura.

Tukutane October.

11223915_1035470039799078_848027710265389819_n.jpg
 
* Nilichukua kadi yangu ya kura nikajaribu kuiscan kutumia application ya 'barcode scanner'...ikaonyesha details zangu....nadhani inasaidia kuhakiki..
 
Mwaka huu CCM watajaribu kula matapishi yao ila hawataweza.
 
Back
Top Bottom