XAMUEL DON KATAR
Member
- Jul 8, 2013
- 96
- 63
habari wanajf.mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje na uwezo wangu sikuweza kuendelea na masomo.(nilkaa week 3 tu)..niliomba kusitisha masomo na niliandka barua kwenye uongoz wa chuo na kuruhusiwa.pia niliandka barua HESLB kutoa taarifa.tangi kipindi kile sikuwahi kuangalia akaunti yangu ya benki maana huku kwetu hakuna benki..sasa week jana nilienda mjini nkaangalia akaunti yangu nkakuta kuna pesa nyingi..nilipoomba bank statement ikaonyesha kuna pesa imeingia kutoka heslb mara tatu!...sasa sielewi nifanye nn kwa sababu nimeomba chuo kingne (tcu)...kuhusu mkopo sielew!..naomben msaada wenu!..asanteni
ifadhi tu ndo zinzpita hivyo
huyu ni msomi wa chuo kikuu anakuja kuuliza what to do with money? pesa ambazo ni yeye mwenyewe aliomba! only in Tanzania.
asante kwa ushauri wako.naomba unipe maelekezo jinsi ya kuhama chuo !...lakn pia ningependa kujua kama hilo linawezekana endapo mm nilidahiliwa 2013/2014 niombe uhamisho wa 2014/2015..asanteFanya hivi usiombe chuo kingine ila omba uhamisho toka chuo cha awali kwenda kingine na taarifa zako ziende Tcu na Heslb.
usiile kabisa kijana...watakutaka ulipe 25% ya hiyo pesa ili upewe mkopo tena!
itume kwenye akaunti hii haraka 0j3467800100 crdb kabla hatujakupeleka polisi au tuma kwa tigo pesa yangu haraka sana.
nimexaituma kaka...naogopa sana polisi...baada ya hapo nifanyenn boss!
hawa viumbe kama unawaogopa nchi hii wewe utakuwa msindikizaji tu, wenzio tena kwa nyongeza hatukosi marafiki mawakili walau watatu girlfriend hakimu na godfather angalau jaji mmoja. phonebook yangu jina la kwanza la igp mangu.
Mkuu pole pia hongera mimi napata shida kujua namna fedha hizo zilivyoingia coz uwezi kupata hela bila kusaini sasa hapo sijui imekuwaje ila ninachokushauri tu fuatilia tu uhamisho wako na usiwaambie km pesa zinaingia lwenye account yk..pia pesa ulizopata unaweza fanya km mtaji wa kufanya biashara tafakri na uzifanyie uamuzi mzur hizo pesa..!habari wanajf.mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje na uwezo wangu sikuweza kuendelea na masomo.(nilkaa week 3 tu)..niliomba kusitisha masomo na niliandka barua kwenye
uongoz wa chuo na kuruhusiwa.pia niliandka barua HESLB kutoa taarifa.tangi kipindi kile sikuwahi kuangalia akaunti yangu ya benki maana huku kwetu hakuna benki..sasa week jana nilienda mjini nkaangalia akaunti yangu nkakuta kuna pesa nyingi..nilipoomba bank statement ikaonyesha kuna pesa imeingia kutoka heslb mara tatu!...sasa sielewi
nifanye nn kwa sababu nimeomba chuo kingne (tcu)...kuhusu mkopo sielew!..naomben msaada wenu!..asanteni
huyu ni msomi wa chuo kikuu anakuja kuuliza what to do with money? pesa ambazo ni yeye mwenyewe aliomba! only in Tanzania.