whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,448
Kweli kabisanzuri lakini ujue vanguard haina tairi la dharura. ukiwa na safari ndefu hakikisha matairi ni mazuri. ikipiga pacha inarekebishika kwa kuweka dawa lakini ikipiga bust ya maana ujue umeumia
aina ya gari ni utashi na mapenzi ya mtu tu na umenunua gari lenye ubovu wa kiwango gani, kwa sababu hata wanaoyauza japani hawayauzi eti wameamua, wengi wanayauza baada ya kuyaona yana shida na mengine yanakuwa yameshatelekezwa. wahuni wanayaokota wanayapiga polish na kuyaweka sokoni....kuna watu hizo x trail wana uzoefu mbaya nazo.
Ukiamua kununua gari wewe nunua tu kuufurahisha moyo wako usisikilize maoni ya mtu. Hata mafundi ukiwauliza kama kuna gari hawezi kulitengeneza atakwambia hayo magari mabovu sana. Hawezi akakupa positive feedback.
Km ngapi kwa lita?Watanzania walio wengi wanalazimisha maisha ila hadhi Yao ni Pajero mini
1.4wd
2.ipo juu jui
3.650cc
4.
Ni sahihi ukifeli service imekula kwako Ina engine Ya EL15Mnaonunua hili gari mmeangalia mazingira halisi ya hapa kwetu Tanzania? Gari ipo chini sana pia ni gari ambayo mafuta yanaenda mengi sana sijui kuhusu spare zake kama ni rahisi kuzipata hapa bongo, je mafundi wa magari hapa bongo wanaweza litengeneza ilo gari?
Mafundi wa bongo ni wachache sana wako expert kama unataka nunua hili gari sikushauri utakuja kuuza kwa bei ya hasara.
Bado huna uwezo wa kumiliki gari, wewe nunua Bajaj!Mnaonunua hili gari mmeangalia mazingira halisi ya hapa kwetu Tanzania? Gari ipo chini sana pia ni gari ambayo mafuta yanaenda mengi sana sijui kuhusu spare zake kama ni rahisi kuzipata hapa bongo, je mafundi wa magari hapa bongo wanaweza litengeneza ilo gari?
Mafundi wa bongo ni wachache sana wako expert kama unataka nunua hili gari sikushauri utakuja kuuza kwa bei ya hasara.
Uvuvi😅😅View attachment 2591821
Chuma hiki hapa mafuta kama Bodaboda
Hizo gari naziogopa kama ukomaNissan Dualis ndiyo gari nzuri kwa walala hoi kama nyinyi
Mkuu kama unamiliki hilo gari siku moja utaleta mrejesho wa machozi hapa hapaToa ushamba wako ha pa
View attachment 2591821
Chuma hiki hapa mafuta kama Bodaboda
View attachment 2600732Hii Ndiyo Bhalaa Inanusa Unleaded
Samahani mkuu hv wrx na wrx sti n cc ngap?Taratibu bro.
Moja ya gari pendwa hapa nchini ukiacha IST, Dualis, Harrier ni iyo Subaru Imprezza.
Kwanza bei rafiki, pili mafuta unayosema inakunywa unaongelea hii ya 3rd generation au?
View attachment 2591799
Maana iyo ipo ya cc 1500, 4-Speed Auto.
Labda ukichukua WRX na WRX STI ndio unaweza toa ayo malalamiko.
Mafundi na spare kwa Dar es Salaam wapo. Budget yako tu.
Edit: Unavyonunua gari vema ukaangalia inapokaa kwenue issue ya ground clearance. Kweli ipo chini lakini mi nikiwa na gari kuna sehemu siendi. Unapanda boda.
Unainua kwa kuweka spacer or inainuka yenyewe automaticMkuu, umemaliza kabisa Subaru Impreza ni miongoni mwa gari bora kabisa pia mafuta matumizi yake ni ya kawaida sana, nina wasiwasi kama mtoa hoja either amewahi miliki hii gari ama amewahi itumia.
Hii gari ina option pia ya kuinua in case barabara yake sio rafiki na mafundi wapi lakini pia Dunia ipo kiganjani unaweza pata kitu chochote kutoka mahala popote. Naomba kuwasilisha
Mleta uzi haijui hii gari,ukinipa ISTna hii nachsgua hii,CC 1500Taratibu bro.
Moja ya gari pendwa hapa nchini ukiacha IST, Dualis, Harrier ni iyo Subaru Imprezza.
Kwanza bei rafiki, pili mafuta unayosema inakunywa unaongelea hii ya 3rd generation au?
View attachment 2591799
Maana iyo ipo ya cc 1500, 4-Speed Auto.
Labda ukichukua WRX na WRX STI ndio unaweza toa ayo malalamiko.
Mafundi na spare kwa Dar es Salaam wapo. Budget yako tu.
Edit: Unavyonunua gari vema ukaangalia inapokaa kwenue issue ya ground clearance. Kweli ipo chini lakini mi nikiwa na gari kuna sehemu siendi. Unapanda boda.
Naijua kiasi chake….Mleta uzi haijui hii gari,ukinipa ISTna hii nachsgua hii,CC 1500
Hii na zile Impreza old ipi n reliable sana, naona haya maboresho yaliofanyika kuanzia 2012 hayajachangamkiwa sn na raia km impreza oldMleta uzi haijui hii gari,ukinipa ISTna hii nachsgua hii,CC 1500
Hizo za 2012 zina gearbox ya CVT, ambazo kuishi maisha marefu ni probability.Hii na zile Impreza old ipi n reliable sana, naona haya maboresho yaliofanyika kuanzia 2012 hayajachangamkiwa sn na raia km impreza old
Ahaa!!! Kwa maana hiyo hizi apa chini kidogo ni mkataba.Hizo za 2012 zina gearbox ya CVT, ambazo kuishi maisha marefu ni probability.
Hamna gari hapo? Brother angu lilitaka kumtoa rohoHizo gari naziogopa kama ukoma