Mkuu Rock City Angelikuwa Mh Lowasa Kiongozi Mzuri kwanini alijiuzulu? Kwa kashfa za Serikali? angalisafisha machafu waliyokuwa wanafanya hao Mafisadi. Mh Lowasa na Marehemu Aliyekuwa Waziri Mkuu ndugu Edward Moringe Sokoine nani zaidi?Nyota ya Lowassa yazidi kung'ara, mkuu wa kaya azidi kuuhusudu hadharani utendaji wake.
Safari njema ya urais mheshimiwa EL.
Nyota ya Lowassa yazidi kung'ara, mkuu wa kaya azidi kuuhusudu hadharani utendaji wake.
Safari njema ya urais mheshimiwa EL.
Political Biography? Bado mapema - asubiri kutoka madarakani atoe hiyo habari maana bado ana kazi kubwa hadi 2015
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]Nyota ya Lowassa yazidi kung'ara, mkuu wa kaya azidi kuuhusudu hadharani utendaji wake.
Safari njema ya urais mheshimiwa EL.
Nyota ya Lowassa yazidi kung'ara, mkuu wa kaya azidi kuuhusudu hadharani utendaji wake.
Safari njema ya urais mheshimiwa EL.
Kwenye demokrasia za kibepari ili upate uongozi wa juu kabisa wa nchi lazima uwe na kimoja kati ya vitu vitatu ambavyo ni PRESTIGE, POWER AND MONEY.
Kitu kinachomfanya Edward Lowassa kuwa UNIQUE kwenye siasa za Tanzania ni kuwa na vyote vitatu badala ya kimoja au viwili.
Kuna watu kwa fikra za itikadi zao za kisiasa au kutopenda ukweli wata brush aside lakini ukweli unabakia pale pale. He can sustain Tanzania subterfuge political fight and the guy is doing pretty well.
Kwa mtu aliye makini na anayeziangalia nyendo za mh. Lowassa lazima atakuwa makini pia kujua Lowassa next step ikichukuliwa katiba ijayo kuna uwezekano mkubwa ikaruhusu wagombea binafsi ambao mara nyingi huwa ni wavurugaji kwenye taasisi za kisiasa zenye dictatorial candidate selection na pia wagawa kura kwenye chaguzi mbali mbali.
Watch out Lowassa political space.
bila kumung'unya maneno lowassa is one and the only fit and suitable for presidency 2015.
Endapo CCM itakataa kumsimamisha then the downfall of CCM is much more obvious and accelerated than now.
Mark my words