Sikukuu wapi leo?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Leo tusahau siasa na tusherehekee. Tupunguze mawazo ya wazi na ya moyoni tujiachie kwa furaha na staha. Tusherehekee kwa makini na amani.

Leo nimekuja Lushoto kubadili upepo. Kusherehekea. Kuzaliwa kwa Bwana. Na familia yangu nzima.

Wewe uko wapi leo mwana-JF mwenzangu?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
mi niko mahali panaitwa sanya juu tumechinja mbuzi
karibuniiiii woteee
 
today i have to prove how much i love my bed
 
Leo nipo kwa wazazi walioniletea burudisho la moyo wangu duniani...........ni bata mwanzo mwisho........

Moshi hoiyeeeeeeeeeeee...........
 
Reactions: jme
leo nyumbani na familia....kula kunywa then kulala.....
 
Mie Nko Kutafta Hela Siku Moja Ikinipita Bila Kufanya Mishe Ntaukaribisha Umaskini
 
Leo nipo kwa wazazi walioniletea burudisho la moyo wangu duniani...........ni bata mwanzo mwisho........

Moshi hoiyeeeeeeeeeeee...........

unaminsha uko kwa ukweni?
 
Mi nipo sarafina bar na sasa naenda castle ya 15 maana ndenge wangu amepeperuka nina hasira ajabu
 
Mi nipo sarafina bar na sasa naenda castle ya 15 maana ndenge wangu amepeperuka nina hasira ajabu

Aisee pole sana, usinywe nyingi kunywa kreti moja tu. Pia hapo kuna kitimoto choma nzuri sana mkuu.:msela:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…