Sikukuu njema jamani ..............

Hahahahha
Kaka karibu basi utafiti

Hahahahhaha huyo kwa supu acha bhana nyama ya mbuzi tamu sana
Mama Mkwe Karibu usijali huyu ni mke Mdogo Mwanao atakuwa ni mke Mkubwa farkhina

Mbona kama mnalumbana? hata tabasamu hakuna
huyo bibie mwoga hataki kumshika huyu Mbuzi ili niweze kumchinja Fixed Point

Nitakuja kunywa supu
Karibuni nyote tufurahikie Sikukuu njema............ Honey Faith


 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu asante sana kwa ukaribisho ila mtoto wa farkhina yuko bize ananiandalia, kwaio huyo mbuzi naona sitaweza kula
 
Last edited by a moderator:
Hapo skukuu lazima iende vizuri...hasa wa kuchoma atapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…