Sikujua kumbe mi ni Fala Sana...!!!!

Sikujua kumbe mi ni Fala Sana...!!!!

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,711
Reaction score
30,054
Huyu demu kila siku kama mwezi sasa nampa lift kwenda kazini. Jumamos iliyopita nikaona nimweke usawa wa kuelekea Qiblah. Akakaa...mchana tumetoka job nikapita naye Hotel moja ipo Kariakoo Mtaa wa Bwimbwi.

Nikaingia ndani naye akasema tule kwanza...nika order chakula. Lakini nikajisemea kuwa kabla hatujaanza kula chakula tulicho order basi nasi tulane kwanza kama introduction.demu alisita sita sana akidai kwanza tule sijui na nini na nini.

Nikaona hapana angalau basi nishushe joto nlilokuwa nalo...akakubali...nikamla kama dk 40 -50 hivi.

Kikaja chakula akala na aliagiza Savannah 3 akapiga zote.akanambia anajisikia tumbo linamsokota kama Period inataka mwanza.akataka apate Ped. Mi nikawaza mle ndani nmevua nguo pia nina laptop ina kazi za ofisi hii siwezi acha peke yake.kwenye Bag nina Mil 9.7 . Nikamwambia siwezi toka tumwagize mtu.akagoma kabisa kuwa si vizuri kumwagiza mtu.niende mimi.

Nami nikagoma kabisa mwishowe akasema ataenda mwenyewe.nikatoa tsh 10,000 akanunue Ped. Aliondoka saa tisa mpaka saa 12 hakuwa amerudi.nlimpigia sana simu ikawa inaita tu na baadaye kuzimwa.MPAKA LEO YULE DADA SIKUJAMWONA TENA.HATA ANAPOPANDIA LIFT SIMKUTI NOWDAYS.

NIKAJIONA FALA SANA.SIKU ILE NINGENG'ANG'ANIA NIMPIGE KITU TU NA SI KUMRUHUSU AKANUNUE PED.MPAKA LEO KIMYAAA....IMAGINE UNALIPIA HOTEL KWA BAO MOJA TU? HUO NLIFANYA UFALA SANA.
 
Bora angekuibia tu
 
Ukiona ivo, ujue mtoto wa watu hakuenjoy. Umemlazimisha tu! Ni bora hiyo 9.7M ukalipie ada ya masomo ya jioni ya kozi ya kumfikisha mwanamke kunako!
 
Huyu demu kila siku kama mwezi sasa nampa lift kwenda kazini. Jumamos iliyopita nikaona nimweke usawa wa kuelekea Qiblah. Akakaa...mchana tumetoka job nikapita naye Hotel moja ipo Kariakoo Mtaa wa Bwimbwi.

Nikaingia ndani naye akasema tule kwanza...nika order chakula. Lakini nikajisemea kuwa kabla hatujaanza kula chakula tulicho order basi nasi tulane kwanza kama introduction.demu alisita sita sana akidai kwanza tule sijui na nini na nini.

Nikaona hapana angalau basi nishushe joto nlilokuwa nalo...akakubali...nikamla kama dk 40 -50 hivi.

Kikaja chakula akala na aliagiza Savannah 3 akapiga zote.akanambia anajisikia tumbo linamsokota kama Period inataka mwanza.akataka apate Ped. Mi nikawaza mle ndani nmevua nguo pia nina laptop ina kazi za ofisi hii siwezi acha peke yake.kwenye Bag nina Mil 9.7 . Nikamwambia siwezi toka tumwagize mtu.akagoma kabisa kuwa si vizuri kumwagiza mtu.niende mimi.

Nami nikagoma kabisa mwishowe akasema ataenda mwenyewe.nikatoa tsh 10,000 akanunue Ped. Aliondoka saa tisa mpaka saa 12 hakuwa amerudi.nlimpigia sana simu ikawa inaita tu na baadaye kuzimwa.MPAKA LEO YULE DADA SIKUJAMWONA TENA.HATA ANAPOPANDIA LIFT SIMKUTI NOWDAYS.

NIKAJIONA FALA SANA.SIKU ILE NINGENG'ANG'ANIA NIMPIGE KITU TU NA SI KUMRUHUSU AKANUNUE PED.MPAKA LEO KIMYAAA....IMAGINE UNALIPIA HOTEL KWA BAO MOJA TU? HUO NLIFANYA UFALA SANA.
certified idiot.
 
Mimi naomba niwe muhasibu wako tu.... Hayo mengine ni uzembe wako
 
Back
Top Bottom