Siku zangu za hidhi kusumbua

Siku zangu za hidhi kusumbua

Yukina

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
201
Reaction score
112
Mimi ni binti wa miaka 20 nimekua na tatizo kutopata siku zangu kwa miezi 4 sasa na nikashauriwa kupima Hormones na nikapewa dawa ! Ajabu ni kwamba baada ya kutumia dawa nimepata siku zangu za hedhi kwa miezi 2 na mwezi uliofutaia zikaja kidogo sana kwa siku 1 tu ya pili zikapotea je tatizo ni nini au ni Cancer ya kizazi ?? Naomba ushauri
 
Mimi si daktari, ila naishi kwenye jamii hii hii yenye kila kitu
Naomba nikuulize:
Orientation yako kwenye mapenzi ikoje? I mean unajisikia kuvutiwa zaidi na kundi gani la watu? Je unajisikia kuvutiwa na kundi lolote at all? Au unapata hisia mseto?
 
Mimi ni binti wa miaka 20 nimekua na tatizo kutopata siku zangu kwa miezi 4 sasa na nikashauriwa kupima Hormones na nikapewa dawa ! Ajabu ni kwamba baada ya kutumia dawa nimepata siku zangu za hedhi kwa miezi 2 na mwezi uliofutaia zikaja kidogo sana kwa siku 1 tu ya pili zikapotea je tatizo ni nini au ni Cancer ya kizazi ?? Naomba ushauri
Habari yako Mkuu Unatumia dawaya uzazi wa mpango? Nenda kapime hiyo Cancer ya kizazi uje utupe mrejesho wako.
 
Back
Top Bottom