Siku za malori Dar zahesabika


Kile Chuma cha reli kinaitwa HMS1 au HMS2, fuatilia ujue kama kinatengenezwa na chuma Chakavu cha kuokota mtaani Kama nondo, yawezekana ni bei mbaya sana mkuu!
 
Hivi vitu vipo online, jisomee tu ujue. No ghali sana kujenga reli, sio vyuma na kokoto pekee mkuu...engineering is not as simple as a b c....
RAIL CONSTRUCTION COSTS
 
Haya Chuma kipya unafahamu kinatengenezwaje? Nadhani wewe ndio ukasome utaelewa... kuna yanayochimbwa na chakavu
Tunataka Great thinkers kama Mlaleo...Big up for your comments
 
Kile Chuma cha reli kinaitwa HMS1 au HMS2, fuatilia ujue kama kinatengenezwa na chuma Chakavu cha kuokota mtaani Kama nondo, yawezekana ni bei mbaya sana mkuu!
Mkuu HMS1 nimeona kwa bei ya used rail in Dollar 200 kwa Tani moja ni sawa na laki nne na arobaini hivi za tanzania so kwa bei ya chuma kipya i mean kilichoyayushwa na kuundwa upya bado sijajua kwa hesabu hizo tuseme kwa chuma kipya tuseme kiwe bei double au triple tuseme bei iwe million moja na nusu kwa rail yenye uzito wa tani moja na rail ya kujaza km 1 inaweza fikia cost ya dollar million 3.5 ??? ambazo ni sawa na zaidi ya tsh billion 7 au nane? yaani hapo kokoto ujenzi wa tuta utaaramu mafundi network stesheni na cabin na kichwa kwa pamoja bado haitofika bei hiyo ni too much na kwa mikataba yetu utaambiwa ununue mabehewa na vichwa pia yaani utaambiwa hizo gharama ni rail pekee
 
Ukitaka kujua Uongo wa Mafundi waambie wakupe orodha ya mahitaji na vifaa vyote kisha nenda wewe mwenyewe Dukani au popote pale vinapopatikana kusanya vyote and then muwekee pale vyote na usimamie kazi wewe mwenyewe utaona either atakimbia au atakuzungusha ali mradi uchoke umuache maana... Bei zao kwanza huwa ni za ajabu and then vingine havihitajiki kwani havina ulazima au vipo eneo hilo hilo...

Hesabu za Mafundi siku zote huwa ni Double au triple STUKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…