Wana JF wenzangu leo tarehe 09.12 ndo nasherekea siku yangu ya kuzaliwa nikiwa nimetimiza miaka 42. Namshukuru MUNGU kwa kuniwezesha kutimiza umri huu nikiwa na afya njema.
Naweza kusema kwamba leo ndio sikukuu yako ya mwaka mpya wa 42 tokea umeanza kuliona jua na natumai utakuwa umemshukuru Mungu kwa kukufikisha hapo. Mungu akuongeze maarifa na upendo na hatimaye uishi hadi siku ulizopangiwa hapa duniani.