eeh..ila usimwambie nimekuambia..
ili umsome vizuri
sikuelewi kabisa.. hivi nilisha :busu:busu:busu:busu hata siku moja?
au :A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss: na :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:??
aha ahah..we tulia usomwe
besti siku nyingine basi uwe unanipa hata like basi!
nakulia timing tu hapa! usione nakomaa kukaa online unafikiri niko bure! ohoo!:ranger:
ahahahaha..haya
like like like like
mkuu sio vizuri bana kuwekana humu!
ila niliwabambia wengi! umamuona huyo mkono wa kushoto mwenye kiremba cheupe?
basi nilishinda hapo na joto loote kwishnei!
hata Dinazarde, charminglady, Evelyn Salt, tian, lusungo, LILENDI, uran na wengine weengi walikuwepo!
nilivizidi kete vijamaa vingi mno! nilibambia effectively!
Mkaguzi mkuu Asprin alitia fora siku ya Valentine baada ya kufanya ukaguzi kwa ujumla wa wanandoa na wasiokuwa wanandoa katika bwawa lake kubwa la kuogelea. ona mwenyewe.....
hawa ni baadhi yawaliokuwapo: Excel, Chocs, ladyfurahia, Mr Rocky, Lady doctor na Arusha one, @ Baba V, Zinduna nae alikuja kutoka unguja, Fixed Point, mwallu, DEMBA, Tyta, watu8 kiwatengu na shansarie, Erickb52 Nivea hata utafiti alikuwapo pia....
ahsante mwallu!
you are the part of my problems!
Huyo white alienyoosha mkono ndio Heaven on Earth? Amavubi umejiachia sana
Mkaguzi mkuu Asprin alitia fora siku ya Valentine baada ya kufanya ukaguzi kwa ujumla wa wanandoa na wasiokuwa wanandoa katika bwawa lake kubwa la kuogelea. ona mwenyewe.....
hawa ni baadhi yawaliokuwapo: Excel, Chocs, ladyfurahia, Mr Rocky, Lady doctor na Arusha one, @ Baba V, Zinduna nae alikuja kutoka unguja, Fixed Point, mwallu, DEMBA, Tyta, watu8 kiwatengu na shansarie, Erickb52 Nivea hata utafiti alikuwapo pia....
Shem yaani tangu siku ile umejificha mbaya....
mwanzo wapi....?