Siku ya nyani kuaanguku miti huteleza

Siku ya nyani kuaanguku miti huteleza

loiboo

New Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Jk hana hata uchungu kidogo juu ya watanzania wanaopoteza maisha yao ,wasio na hatia ????daw ya kuahidi utekelezaji ni kutekeleza ,kikao kitkachofanyika kesho juu ya wazee wa ccm pamoja na jk???wanalenga hasa nn???
 
Inaonekana ulikuwa na usingizi mno wakati unaandaa makala yako.
 
Kiswahili chako kimebanguliwa sana sijaelewa hapo
 
Jk hana hata uchungu kidogo juu ya watanzania wanaopoteza maisha yao ,wasio na hatia ????daw ya kuahidi utekelezaji ni kutekeleza ,kikao kitkachofanyika kesho juu ya wazee wa ccm pamoja na jk???wanalenga hasa nn???

Umejiunga lini JF kwanza wewe maana naona bado una matongotongo ya unjuka wa hapa.
 
Back
Top Bottom