he kitu gan hcho cha kuondoa aibu?Kwa bavicha kufanya kazi kwa bidii ni takataka. Ingekuwa maandamano ungefurahia kwa sababu unajua kabla ya maandamano vijana wa bavicha mnapewaga ile kitu ya kuondoa aibu...
he kitu gan hcho cha kuondoa aibu?
hapana sijaisikiaHahahahahahaha mkuu hujui ile biashara ya Lema?
Weka mbali na kucha...
Mmhhh Mungu amtangulie lwakatare maana magamba wana mbinu nyingi.
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
Kila la kheri Makamanda
Nitanawia uso viunga vya mahakama kumuunga mkono kamanda!
Wazee wa buku 7 mmeongozewa dau nini? Naona unatambaa na shift ya usiku post hii umetandika saa 5 usiku, na shift ya mchana nilikuona piaKwa bavicha kufanya kazi kwa bidii ni takataka. Ingekuwa maandamano ungefurahia kwa sababu unajua kabla ya maandamano vijana wa bavicha mnapewaga ile kitu ya kuondoa aibu...
Vijana fanyeni kazi kwa bidii. Acheni kuzurura na wanasiasa...
Kwa bavicha kufanya kazi kwa bidii ni takataka. Ingekuwa maandamano ungefurahia kwa sababu unajua kabla ya maandamano vijana wa bavicha mnapewaga ile kitu ya kuondoa aibu...
Hili linatuhusu sote kamanda,si jambo la mtu mmoja mmoja... Leo watamfanyia Lyakatare,kesho kwako!
Hahahahahahaha mkuu hujui ile biashara ya Lema?