Siku ya makamanda Kisutu

Mbusule

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
87
Reaction score
83
Ndg wanaJf hasa wapenzi na mashabiki wa CHADEMA,kesho 13/05/13 ni siku ya aina yake ambapo kesi inayogusa hisia za wengi;ya Lwakatare itasikilizwa.Sintofahamu iliyopo ni kama mahakama ya Hakima mkazi Kisutu kupitia hakimu msomi Aloyce Katemana ataridhia kumpa dhamana kufuatia mahakama kuu kumfutia mashtaka ya kigaidi.Pia,kama mwendesha mashitaka wa serikali hatafunga dhamana yake kama ilivyotoke kwa sheih Ponda.

Katika hatua nyingine, kesho hiyo hiyo na katika mahakama hiyo hiyo kutakuwa na kesi ya kamanda Mbusule Christopher-Mwenyekiti BAVICHA jimbø la Ubungo na wenzake inayohusu maandamanö ya UDSM kudai mikopo kwa mwaka wa kwanza, inasikilizwa na Mhe.Mchauro na Kesi ya General Kaduma-KTB mstaafu wa CHAso kanda maalumu ya Dsm ambayo ipo kwa Mhe.Fimbo

N.B:KESI ZOTE HIZI ZINATETEWA NA WAKILI MSOMI PROF.SAFARI
 
Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tunawatakia Mafanikio mema katika hayo yote.
 
13th is a bad day to Lwakatare! Mungu na amwokoe na hili janga!
 
Mmhhh Mungu amtangulie lwakatare maana magamba wana mbinu nyingi.
 
Lengo la kumkamata lilishaanza kuashiria kumtesa ndugu huyo, Hivyo tutegemee kunyimwa dhamana zaidi kuliko kuruhusiwa kudhaminiwa.

Hata hivyo hebu tusubiri majibu
 
kila la kheri makamanda tunaamini katika mungu na tumeanza na mungu,tunaendelea nae na tutamaliza amina.
 
Kesho ni siku muhimu sana kwa mashabiki, wapenzi na wanachama wa chama cha maendeleo (CHADEMA) kwani siku ambayo Wilfred Lwakatale anaweza kutoka kwa dhamana baada ya kufutiwa mashitaka ya ugaidi yalitokuwa yakimkabili

Karibu sana kamanda tulikumc vilivyo.
 
takataka.........
Kwa bavicha kufanya kazi kwa bidii ni takataka. Ingekuwa maandamano ungefurahia kwa sababu unajua kabla ya maandamano vijana wa bavicha mnapewaga ile kitu ya kuondoa aibu...
 
Kwa bavicha kufanya kazi kwa bidii ni takataka. Ingekuwa maandamano ungefurahia kwa sababu unajua kabla ya maandamano vijana wa bavicha mnapewaga ile kitu ya kuondoa aibu...

Naona umeamua kuwapiga bao wenzako akina SUMU M23 kwa kuunganisha shift na malipo yataongezeka au. Kweli fanya kazi kwa bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…