Siku ya kuweza kushika mimba

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
923
1,544
mm ni miongoni mwa watu wanaosaka mtoto kwa muda wa zaid ya miezi sita,leo nakuja kwenu nauliza mke wangu mzunguko wake ni wa siku 30 na mwez huu wa nne smeblid tarehe 26 je siku yake anayoweza kushika mimba ni siku gan/tarehe gan/au baada ya siku ngapi?

karibuni kwa majibu
 
hesab siku 9/ 8 za mwanzo kutoka anapoingia blood hzo ni salama maana yake hawezi kupata mtt, siku 10-17 hzo ni mimba zote, na hapo ukimkosa muone dk fast...
 
Kuna app zipo nyingi tu kwenye google play zinazihusiana na mambo hayoo
 
Back
Top Bottom