Siku ya harusi

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
Hivi siku ya harusi, bibi harusi anakuwa amependeza au siku hiyo anakuwa amevaa na kujipamba tofauti na wengine? Binafsi ninaamini, yeye mwenyewe pia anakuwa amevaa tofauti na siku zingine.
 
Yelo yelo Tanzaniaaaaa, tuimbe!
Yelo yelo ngulutima mutima waange, tuimbe!
Kuwa mzalendo, sambaza upendo.....


Mapendo,
TANMO.
 
siku yako kuu..lazima upendeze.
 
Mmh ni maelezoo,swalii,habarii,ama miye ndo kichwa ngumu?
 
Siku ya harusi
siku ya pekee sana
siku hio utakuwa na mwonekano tofauti kwa kweli
 
^^
Anakuwa anasifiwa hata kama sio kweli
^^
 
Siku maalum na yenye furaha tele ndio maana anaonekana tofauti(mrembo maradufu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…