gemmy sikuwa na wazo la mwenzetu huyu nilimwish yule tajiri bill gates
kumbe na huyu ni siku spesheli kwake Mungu ampe afya njema na akue na kuongezeka kwa kimo
Leo ni siku kuu kwangu mimi so nawaakaribisha ndugu wana MMU na wana JF kwa ujumla kunitakia birthday njema. Nawapendeni sana wanafamilia ya Great Thinker forum.